Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kubweka from Kibera habari iko hukuu Tz [emoji28] [emoji28] [emoji28] Trial runs za Tz SGR zineanza kitambo na tumeshapanda fron Pugu Station to Morogoro tena using electric
We umepanda sgr, Mungu wangu..nambie na mimi nije nipande hyo sgr[emoji1787][emoji1787]

Amkeni wajameni, jamaa kasema kapanda "sgr" from pugu to moro tena using "electric"
Yani kw mfano unaanzaje kupanda sgr kutoka pugu mpka moro tena kibaya zaidi ni using electric[emoji1787][emoji1787]
 
Hta marekani hko mnakokutolea mfano wachina wanachukua toll pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…