Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


We have tolls here in dar too. But not Chinese one [emoji28][emoji28]
 
Hapa ndipo huwa mnachekesha nyie watu, tunaongelea Kenya unatoa mfano wa USA unasahau kwamba Kenya ni nchi maskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unashangaa shangaa namanbo tulishayazoea zamani, nanyi zoea kuona barabara kimya kimya, ushamba punguza, eti akili, taifa liko kwa life support machine, kisa propaganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Kenya kila kitu ni mchina, kama isingekuwa mchina hii nchi ingekuwa mavi zaidi ya hapa mlipo, watanzania ni aibu kuji compare na Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The toll money goes to local authorities not foreigners.
 
Ile siku Kenya itapata concrete jungle kama kkoo njoo tuzungumze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
eti concrete jungle πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,bado unaeneza ushamba, Man useless nitakuitia Aston Villa ama Young Boys πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., kujaza buildings kasehemu kamoja kadogo kisha nje ya mji ni uswazi kote kote, hakuna ya maana zaidi ya hapo, another propaganda inayo wapumbaza vilaza kama wewe mmoja wao, kumbe ni sehemu ndogo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unatuambia nini., weka hizo buildings unaita concrete jungle, naweza kuzi hesabu moja baada ya nyingine.., ndio ujue ni mikusanyiko tu ya flats sehemu mojaπŸ˜‚ πŸ˜‚ , pambaneni na Mombasa..,
Mombasa


Eastlands residentials.., nje kabisa, Dar ukipata such nitag tuongee.., ukiweka aerial view kwenu, ni poverty jungle tu imetapakaa kote kote.., 90%.,
Eastlands

 
Kwamba unafananisha kkoo na takataka gani!!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba unafananisha kkoo na takataka gani!!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
usijitekenye., weka nikuhesabie vigorofa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Magotofa ya Udongo... Kenyans please anzeni kujenga vitu bora... Haya magorofa ni karibu sana na nyumba zinazojengwa Bunju, Kimara na Mbezi kwa thamani...
weka hizo zenu bora tuzione kwa wingi ama ni visehemu sehumu tu.., za kwenu tunazijua, njengeni makazi bora, sio vitu vya kishamba mmejaza nazo mji kwa asilimia tisini (90%)..,
 
Stendi ya wilaya ya nanyumbu huko mtwara vijijini ni nzr kuliko ya downtown Nairobi [emoji23][emoji23]View attachment 1953949View attachment 1953950View attachment 1953951View attachment 1953953

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Sema mainjinia wetu hawa mh!! mbona ilo jengo msingi upo chini standi inatakiwa mzingi uwe juu futi moja na nusu [emoji15]sasa hapo ndiyo utasikia maji ya mvua na matope yake yamefulika kipindi cha masika ,ila picha imefunguka moja sijaona zingine ,kwa hiyo iliyo funguka jengo linaonekana lipo chini level ya ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…