Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh, Mkuu uende aisee, Kinakimbizana na Beach za Zanzibar. Nenda weekend ukaone vile mungu kweli kaumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ni eneo mojawapo la kuona kwa macho yako viumbe vya mungu bila chenga[emoji1787].
Aloo itabidi niende ndinda umenitamanisha sana 😁😁😁😁
 
I'M sorry to say umeandika paragraph nyingi sana lakini ulichoandika haki reflect kama aliyeandika ni msomi au mtu anayefuatilia mifumo ya serikali kiutendaji.Umeanza kwa kulinganisha magufuli na samia kiakili na kiutendaji unasema samia hamfikii Magufuli kwa kila kitu,Msomi hawezi kuja na mawazo ya mtindo huo hasa unapocompare leadership.Leadership sio akili kichwani au utendaji mzuri is all about vision,chosing the best style kulingana na wakati husika.Style ya samia kiuongozi na JPM kwa vyovyote hawawezi fanana sana japo kuna vitu vitafanana.Style ya uongozi huja na mtazamo wa kiongozi kwa anaowaongoza pia.Hivyo unapaswa kuchambua style zao za uongozi na kusema ipi inafaa kwa TANZANIA.Hoja yako ya kusema kama sio Magufuli barabara sisingejengwa kwa wingi wakati wa JK ni hoja MFU kabisa, unasahau kua serikalini kuna vipaumbele vinavyoenda kulingana na wakati kama kikwete asingependa barabara angelazimisha fedha zingeenda kwenye vitu vingine na usisahau kua fedha za kujenga hazitafutwi na waziri wa ujenzi ni Ofisi ya RAIS pamaoja na wizara ya fedha japo kuna maduhuli pia.Nikumbushe tu kabla ya JPM kuingia madarakani alizikuta shule,Vyuo vikuu,viwanda kadhaa binafsi,Bandari,Majengo mengi ya serikali na vingine vingi vilivyokua nje ya wizara ya ujenzi na uchukuzi , uchumi wa nchi sio ujenzi na uchukuzi pekee yake, ni suala mtanziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…