Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Usisahau kwamba karibia China inawaninua na kuwafanya kitu mbaya.Bwahahaha!!we sema tu hujui[emoji1787][emoji1787]
Sasa kwanza unaanzaje kulia na vitu usivyovifahamu..
Yani machungu yenu ni vile tunajiundia body
Naona unapigania Legacy isisahaulike 😃😃..Kuna baadhi ya Wakenya wanajifanya Watanzania kwa kumkashifu Magufuli na kumsifia Chief Hangaya na Watanzania wajinga wanaingia kingi.
Wakenya wanafurahia kuona tumepoteza bonge la kingozi na kupata KILAZA.
Nilifikiri unajua nikawa nashangaa huleti picha. Kaangalie na Kenyatta ishaungwa na daraja, Toure drive imebaki kuwekwa alama tuDuh, Wakulungwa , Barabara ya Obama kutokea Ikulu pale upande wa Baharini hadi Aga Khan ishakua Marked, No noma nadhani ni Barabara nzuri zaidi Bongo. Ntarudi kupiga picha.
Leo nilikua na mtu mzito sijapata nguvu ya kutoa simu na kupiga picha [emoji1787]
Naona unapigania Legacy isisahaulike 😃😃..
Chief Hangaya is here to stay till 2030 ,,Ona mambo mazuri ya Madam President 👇
View attachment 1949527
View attachment 1949528
View attachment 1949529
View attachment 1949530
Ukileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..You must be very stupid. Keep on being such an idiot.
Kindly, don't quote my posts.
Hapa magufuli alifanya kazi kubwa sana sifa zake apewe kwa kweli 🤝🤝🤝🤝Tanzanite [emoji7][emoji7] #HapaKaziTu
View attachment 1949454
Napenda kuona akili kama hzi 😁😁😁😁Na hamna wateja., loss making white elephant., 😂 😂 😂
Labda musubiri Dunia iumbwe tena 😁😁😁Very soon tunaanza kuexport magari tanzania😂View attachment 1949474
Hzo Airbus malipo ya awali yalishafanywa tayari na malipo ya mwisho nahisi yalifanyikaTano zinazokuja zinaweza kuwa "Kazi iendelee" maana malipo ya awali yamefanyika budget hii! Msilie ngwee! 🙏 🙏
Hakuna mtu hampendi mama tatizo ni ww usiempenda hayati au mm nasema uongo???Picha ya mama kwenye Kuta za Jiji la New York 😆😆..
Asiyempenda akajinyonge 👇
Oya hii sio jukwa la matusi tafadhali sana Moderator sio katika Mila zetuUkileta upumbavu unataka nani akuchekee? Atakuchekea Mkeo fala wewe na kwa taarifa yako Unajisumbua ,punde ukileta upumbavu wako nitakukoti kuweka sawa na huna cha kunifanya..
Na deal na contents zako si deal na sura yako kima jike wewe.
Editing hiyoooo,Picha ya mama kwenye Kuta za Jiji la New York [emoji38][emoji38]..
Asiyempenda akajinyonge [emoji116]
bro biashara ya ndege ni ngumu sana.., sisemi utani.., so far ATCL haijatengeneza ata shillingi moja.., zero, running on tax payers money 😂 😂 😂 😂Napenda kuona akili kama hzi 😁😁😁😁
Mm siwezi mpenda yule utopian man na mkomunisti wa zama za information era,anakinzana na wakati tunaumia nyasi.Hakuna mtu hampendi mama tatizo ni ww usiempenda hayati au mm nasema uongo???
Tulia sawasawa sindano iingie bado dozi kadhaa za electric trains on the way [emoji2]Na hamna wateja., loss making white elephant., [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sputnik II. deal
Ebhn huu mzigo ndio mpya au?Tanzanite [emoji7][emoji7] #HapaKaziTu
View attachment 1949454
Habari ndio hiyo.Ebhn huu mzigo ndio mpya au?
Interest tuu a quarter of GDP gone in a flash. Hizo loans zenyewe sasa si zitatafuna GDP yote ya Kayaiii [emoji26]Usisahau kwamba karibia China inawaninua na kuwafanya kitu mbaya.
Kukopa kutamu ila kukopa hovyo lazima mlie kilio cha mbwa koko [emoji116]
View attachment 1949515
View attachment 1949516