Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,227
- 107,854
wawe na staha kwa mwanamke!Hebu tafadhalini kama nikiwa mwenyekiti naomba mjadala wa siasa tuachane nao na turudi kwenye thread kama inavotutaka kufanya tafadhalini sana
Sasa *****[emoji304] anatoaje mwongozo [emoji849] ni upumbaavu kama kuongozwa na mwanamke tu
Naunga mkono mfumodume si sawa! Mama apewe muda si kila siku kumdhihaki! It's ufair! Ukitaka JPM aheshimiwe then heshimu anayemfuata!lwiva hebu tuachaneni na hzo mada bro turudi kwenye thread yetu kama zamani
We endelea kujifurahisha mzee mambo ya ukabila na mfumo dume umu umayaleta wewe
unataka kuendeleza ligi sio? Mi nimekubali ushauri wa ichoboy01 !We
We endelea kujifurahisha mzee mambo ya ukabila na mfumo dume umu umayaleta wewe
Bro hiyo screenshot nimeweka huyo nani? Ready to corrected . Pia matusi sio lugha ya stahaWe nae ni kenge tuu,sasa huo Uzi umeona kuna ID yangu hapo? Umewahi ona hiyo id huku kwenye jukwaa la Kenya?
Ndio maana nimekwambia unadandia kitu usichokijua utasukumiwa moto na wanaume endelea na kiherehere chako cha kike..
Id zangu ni hii nyingine 2 zilipigwa Pini ,muulize the best anazijua vizuri.
Nyinyi labda mjichibue kwa kudumbukizwa kwenye changaa ya moto ndiyo mtakuwa maji ya kundeHapana, mnashobokea ngozi nyeupe, ndo maana mademu wanajichubua sana kwenyu kuliko kwetu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji107]
[emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji16][emoji16] binadamu mda mwingine tunageuka tunakuwa vibonzo vya duniaHii kali ya mwaka. Huyu atakuwa anaishi kwa shemeji yake mume wa dada yake. Hajui hata gharama ya mfuko wa cement [emoji3]