Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua nini maana ya approves?




BTW the issue here ni nani anajenga unataka kuniambia JPM aliyelala pale Chato atajenga ring road na Msalato airport wakati serikali ni ya Samia Suluhu? Mkumbuke mlikuwa mnalazimishia miradi ya JK kuwa ya JPM kama JNIA Terminal 3! Mbona inakuwa ngumu kwenu kukubali hili? Mkuki kwa nguruwe sio? Hata mlidiriki kutaka kubadili katiba kabla term ya kwanza haijaisha as if mlikuwa mnajua ya Mwenyezi Mungu! Tabia iliyokuwa imejengeka ilikuwa mbaya sana!
 
Miradi yote hiyo ilishatafutiwa fedha yote na mikataba ilishasainiwa na serikali siku nyingi, ilibaki tu utekelezaji sababu pesa zilishapatikana!

Eti kwasababu mama kasaini b 300 kwa ajili ofisi za wizara eti anasema before that pesa hazikuwepo, wakati hii miradi ilikua kwenye ilani tangu 2019 ilikua swala la mda tuu
 
Tutawaachia jukwaa lao mana watu wanakuwa na ndimi mbili, huenda wanalipwa so now wameambiwa wakandie awamu iliyopita.

Mtu unapata wapi ujasiri wa kumkashifu Magu? Leo hii tupo kwenye hii battle kutokana na falsafa za Magu, ungewezaje kupambana na Kenya iliyokuwa imetupita kila kitu kama co Magu kukupa mdomo? Mtu anabisha mambo ya wazi kabisa kwamba mama anaendeleza alichoacha Magu, tukiwaambia watuonyeshe mradi aliouanzisha mama kama mama bado wanaleta ile ile ya Magu.

Watz wengi ni wanafki sana eti leo wamegeuka kabisa, wameanza kumtukana Magu daahhh,huu uzi umekosa ladha kabisa kwangu mana kila nikiingia nakutana na mbwa anamkosea heshima mtu aliyempa nguvu na kidomo domo cha ku comment humu.


Huu uzi ushakuwa wa kipumbavu sn, na kinachonikera mm ni mtu kukataa ukweli kisa tu analipwa buku 7, ngj muda unakuja kuwaachia uzi wao waendelee na mapambio ya uongo maana najua kabisa wengi wao wanajifanya kumsifia mama kinafki ili kuwaumiza wanaompenda Magu, yote hiyo ni sababu ya chuki na wengine ni tamaa ya vipesa vidogo vidogo.

Ndiyo maana hata speed ya ku comment humu imenipungua kwa sababu ya hawa wapumbavu wachache.
 
Kama hujui maana na utofauti wa economic rebase na change of base year hapo ndio utajua hujui
 
Buku7 ndo inamfanya abadilike kabisa, na cku zinavyozidi kwenda ndio amekuwa mpuuzi kabisa.
 
swali serikali ya nani inajenga?
 
Kwenye mambo kama hayo hatuangalii mjenzi anaenda kushika beleshi na kuinua tofali, tunaangalia aliebuni wazo, kuasisi na kuanza utekelezaji

Samia zake ni tozo na chanjo, ndio mambo aliyoyaanzisha from the scratch kwa utashi wake, hayo ya ujenzi ni anaendeleza Legacies za Magufuli sababu hakubuni yeye wala kutafuta pesa yeye, kaja kakuta kila kitu kipo tayari.

Hili halihitaji approval yako, lipo hivyo hata usipotaka.
 
kwahiyo masterplan ya Dodoma city, JPM ndiye ali-design sio? Hapa ndipo Bange za ukanda na ukabila hukolea!
 
Yaani huku saivi panatia kinyaa, Magufuli ndio alieifikisha hii nchi viwango vya juu tulivyopo ni kichaa tu ataepinga hilo

Hata mradi wa ubungo logistics centre, bila Magufuli kuhamishia stand kule Magufuli terminal isingejengwa na mchakato ulishaanza miaka mi4 nyuma ila watu wanakuja kuongea shit hovyo hapa

Kweli huu uzi ni wa kifedhuli saivi na hauna ladha tena, huyu mpumbavu analeta battle ya kipuuzi isio na mashiko pale anapopindisha ukweli kwa mihemko yake binafsi!
 
nyoo mama hata miezi 6 hajatimiza na katenga fedha zaidi kwa kila sekta, ila Chatogang mpo humu kumuhukumu utafikiri Mungu wenu alikuwa malaika!
 
kwahiyo masterplan ya Dodoma city, JPM ndiye ali-design sio? Hapa ndipo Bange za ukanda na ukabila hukolea!
Ni kweli hujui kama Magufuli aliandaa masterplans za mikoa kadhaa Tanzania Dodoma ikiwepo au unajitia uchizi?


 
angalia mwanamasumbwi namba moja afrika anatokea wapi middle weight

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…