Nature ilivyo ya ajabu, hata waharibu ushahidi namna gani lazima siku ukweli utajitokeza. Unaona jinsi Ukristo ulivyochoma gospel za Maria na kuharibu kila maandiko yake but kila kukicha ukweli unajidhihirisha wenyewe. Achana na nguvu za NatureJuzi alisema kudra za mungu wake ndio zimempa urais, Huwezi kuongea hayo maneno especially mwanamke, kifo cha JPM kina mazonge mengi sana.
Mlikuwa wapi kumlinda.na wale waganga wa Nigeria,DR Congo,gamboshi nk? πππ Dhalimu alishughulikiwa vilivyo na uviko 19Hawa wase,nge wanadhani wakimloga Magu ndio watu watasahau kumbe ndio wanaharibu. Halafu chaajabu hata raia waliokua wanamlalamikia Magu kabana pesa kipindi kile now wanamsifu maana samia anachofanya ni kuwalegezea watu wa kipato kikubwa na kubana tabaka la chini kama wanavyofanyiwa wakunya. Mfano halisi mobile txns ambazo watumiaji wengi ni tabaka la chini maana tabaka la juu unafanya txns kwa kuchanja card tu
kilaza unajaribu kulazimisha eti unaelewa.., yes u rebased in 2019, base year ikawa 2015, na hivyo ndio nakuelezea, hauwezi ukafanya rebase na hiyo hiyo same year ikawa base, how will u get correct picture? u go back some years to analyze economic activities and capture what has been added to the economy but not factored in the GDP calculations, from the base year to the present.,, kilaza wewe.., natumia lugha ya mtoto wa chekechea ili uelewe lakini unajifanya mjuaji.., your economy is poor bado(Tanzania's), kubali huo ukweli ulio dhihirika 2019 after rebase, wacheni kupiga kifua na ukweli uko wazi, jikubali mjijenge, wachana na Kenya na shida zetu.Ivi ww uchumi ulisomea google sio? Tulifanga rebase 2019, lakini base year still tunatumia 2015 , kwanini ? Na usiniambie abari ya hali nzuri ya uchumi ndio kitu kilicho leta msulumo wa kuchagua 2015
Uweke hadharani afu chukua hatuaNature ilivyo ya ajabu, hata waharibu ushahidi namna gani lazima siku ukweli utajitokeza. Unaona jinsi Ukristo ulivyochoma gospel za Maria na kuharibu kila maandiko yake but kila kukicha ukweli unajidhihirisha wenyewe. Achana na nguvu za Nature
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]Opportunity Cost ya kuuza tako[emoji39][emoji39] kama wewe siyo ***** tamka ili neno huku umekaza sautiWewe fala so ndio umeleta upumbavu wako,ndio jishangae sasa
Lazima umuone Great akiwa nyuma ya tako lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]Opportunity Cost ya kuuza tako[emoji39][emoji39] kama wewe siyo ***** tamka ili neno huku umekaza sauti
" MAGUFULI THE GREAT "
Huyo opportunity cost ya kuuza tako a achana naye ni *****Humu jukwaani kumeshakua hovyo sana, kuna mpumbavu akisikia JPM katajwa anaingia mwezini, hatuwezi kumtenga JPM na maendeleo yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa hata nukta 1 sababu almost yote yeye ndio chanzo
Hatuoni kinyongo aliepo anavyoyaendeleza sababu hata JPM yapo aliyoyaendeleza kama Nyerere Bridge, Mloganzila, mwendokasi phase 1 na mengine mengi na yalipokamilika hakuacha kutoa pongezi kwa muasisi wa hayo
Tatizo hili jukwaa lishakua la kipimbi na sioni kama nina muda sana!
Oya, usiniquote mimi sina muda wa kutosha kubisha na wewe kama umegundua sihangaiki na wewe kabisaTumpende Dhalimu yule Ili tuvumbue nini?
Labda uwekezaji wa vitambi si unaona mkwere katoka kitambi kama mimbaUkweli gani wewe tumbili?
Ukweli ni huu hapa Sasa [emoji116]
View attachment 1947050
View attachment 1947051
View attachment 1947052
Halafu nature ilivyo ya ajabu, leo unachekelea udhalimu then miaka kadhaa mbeleni watoto wako wanakuja kulipa hilo deni kazi yao inakua ni kuto,mbwa ili wapate chakulaUweke hadharani afu chukua hatua
Magufuli influence hivyo ,Tanzania imejulikana duniani kwa sababu ya magufuli hakuna ubishi ,jamaa alikuwa natumia kiswahili tu ila dunia nzima ilimjuaUnakurupuka,nimekuuliza saizi corona imeisha maana ndio kichaka cha kujificha..
[emoji116]
View attachment 1947061
Hiyo influence ilosubiri akiwa chini ya kifusi? Kwa nini jaikutokea akiwa hai? Mtaongea yote ila tunafuta legacy.Magufuli influence hivyo ,Tanzania imejulikana duniani kwa sababu ya magufuli hakuna ubishi ,jamaa alikuwa natumia kiswahili tu ila dunia nzima ilimjua
Sasa kama tunawashinda kwa 99% ya michezo yote , what are you bragging ?
Wote nawatangazia kuwa huyu Opportunity Cost muelekezeni kwangu kila akipost humu mm nina shughuli nayeLazima umuone Great akiwa nyuma ya tako lako
Dhalimu yuko chini ya kifusi ,wakati mnateka watu hamkujua kuwa anafanya udhalimu? Na baddo mtajuta Sana.Halafu nature ilivyo ya ajabu, leo unachekelea udhalimu then miaka kadhaa mbeleni watoto wako wanakuja kulipa hilo deni kazi yao inakua ni kuto,mbwa ili wapate chakula
Kufa kwa Magu ni mwili tu ila kilichokua ndani yake kitahamia kwa mwingine na atakua zaidi yake kama yeye mwenyewe alivyomkamilisha Nyerere kimatendo. Na ombeni anaekuja asiwe mjeda maana patachimbikaMlikuwa wapi kumlinda.na wale waganga wa Nigeria,DR Congo,gamboshi nk? πππ Dhalimu alishughulikiwa vilivyo na uviko 19
Tumeingia uchumi wa kati chini ya magufuli bila ya tozo ushuzi wa bata za mama lakoHiyo influence ilosubiri akiwa chini ya kifusi? Kwa nini jaikutokea akiwa hai? Mtaongea yote ila tunafuta legacy.
[emoji116]
View attachment 1947142
View attachment 1947143
Tanesco km wanaingiza 1 trilion basi hawapaswi kuwa na vijengo vya kizamani, hv kuna watu lazima miaka hiyo ka arusha kalivokuwa ka kijiji watakuwa walihoji mbona mnajenga majengo ya gharama hv? lkn leo majengo hayohayo yanafanya kaskazini imepata city, tatizo watu hamuwazi kisa ni eneo la nyumbani mnaona km anapendelea, mnafikiri hiyo SGR itakuwa inabeba nn km sio bidhaa km hizo na wateja? lazima kuwe na city maeneo hayo. Halafu sometimes kuna vitu vya kufosi ili eneo liendelee, niwaulize je, hilo jengo la floor 70 litakalo jengwa zbar, tuseme lisijengwe huko ila lije lijengwe dar maana kuna uhakika huku? Hapo tunatakiwa kutafuta plan alitaka kufanya nn cha maana? na km hamna? tu add plan zetu hapo lazima kitakuwa na positive idea, msiingize mawazo hasi kwa kila jambo eti alijenga kwao, kwani we umejenga wapi? mnabahati mi sio raisi nachukia sana kudeal na negative ideas kila mahali, ni ajabu sana kuona mtu unatafuta negative tuu, badala ya kuadd positive things on it because vipo tu kaeni mtafakari vipo, kuna vitu vinafanywa sio kwasababu eneo hilo linavihitaji no, ila ni kwasababu ya kuvivuta vingine, nikupe mfano, sehemu zote zilimo jengwa Sgr stations, kuna mahali jengo hilo la sgr ni gharama kubwa kuliko jumla ya watu kadhaa, ss hatukujenga eti kwa sababu sgr imepita, ila kwasababu ya kuvutiavmaendeleo ktk eneo hilo, Jengo la floor 70 zbar linajengwa sio kwasababu zbar inataka jengo hilo ila ni kwasababu likiwepo jengo hilo basi haya ya floor 50, 35 nk yatakuja tu, mmenielewa?Doh hebu leta jengo la Tanesco Temeke tulione! JPM alikuwa na mazuri na mabaya yake mimi alinitoa stimu kugundua haya yoote ni kwa ajili ya kuja kuimega Chato toka mkoa wa Geita yaani baada ya ku-direct resources toka Geita Town makao makuu ya Mkoa, nia yake ilikuwa aje kutoa Chato na kumega Kagera na Kigoma na kutengeneza mkoa mpya! Aiseee....
Likikamilika litakuwa hivi!
Na la Geita Town likoje?
Yaani unadhani 2015 as base year inachaguliwa tu kiholela, π π π π π π π ., nimekufumania, afadhali ungefyata tu, huu ujinga wako haungejulikana, sasa wewe nimekudharau na kukuweka category ya watu flani, hauniambii chochote nikuamini., uko clueless about many things.., wacha shabiki za kitoto sasa, jirudie, komaa.Ivi ww uchumi ulisomea google sio? Tulifanga rebase 2019, lakini base year still tunatumia 2015 , kwanini ? Na usiniambie abari ya hali nzuri ya uchumi ndio kitu kilicho leta msulumo wa kuchagua 2015
Mwenzio the Best alishanyua mikono ndio utakuwa wewe shoga?Wote nawatangazia kuwa huyu Opportunity Cost muelekezeni kwangu kila akipost humu mm nina shughuli naye