Sikatai kuwa nae kama binaadamu alipata kasoro zake hususani swala la kuifanya chato mkoa. Shida ni kufumba macho na kupotosha mfano msemo wako wa mama katoa hela as if Magu alikua kaishia hapo wakati hadi plan unaijua na yeye mwenye kuimba kuifanya Dodoma kama UlayaChato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si ukabila, uchoyo, tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?
Corona imeisha? Excuses za kijinga baada ya mtu wenu kufeli vibaya..Kwan hujui kama uwekezaji ulipungua baada ya corona kuibuka na sasa hvi ugonjwa ushakua wa wakawaida ndio maana sahii mambo yanarudi kama awali au Hilo geni kwakoππππ yani kwa sababu unachuki ndio ubadilishe kizuri kiwe kibaya, yapo mazuri mengi aliyafanya hayati ambayo Leo hii yasingefanyika kamwe kenge wewe
Inakadiriwa na genge la Chato au? ππWilaya ambayo inakadiria kua na watu 500k kwann isiwe na hadhi ya kua mkoa au kwa sababu unachuki nae ndio kila kitu kibaya kwako punguza mihemko isiokua na tija ππππ nenda kavute zile bangi za chooni alaf uje
Uhehehe FDI toka kipindi Cha magufuli ilikua inaongiza east Africa kama ulikua hujui na hio nitaarifa fupi na kupa ww pimbi, na chuki zako hazibadilishi kua kama isingekua akili ya magufuli juu ya corona Tanzania ingekua sawa na kenya Leo hiiKwenda huko we kenge jitu liliharibu bei za Mazao ya kilimo afu unaropoka hapa? Pumbavu
Soma hiyo π
View attachment 1947039
Nenda kaangalie sensa ya 2012 ilikua over 350k ukibishana na mm uje na akili timamu sio na zile bangi za chooniInakadiriwa na genge la Chato au? ππ
Corona imeisha na barakoa za nn sasaπππ au ndio nyie mliokua munasubiri lockdown na curfewCorona imeisha? Excuses za kijinga baada ya mtu wenu kufeli vibaya..
Hii hapa 7@% growth aliyokuwa anawaambia yule dhalimu πππ
View attachment 1947058
Inaongoza kwenye midomo yenu? Weka data tuone..Uhehehe FDI toka kipindi Cha magufuli ilikua inaongiza east Africa kama ulikua hujui na hio nitaarifa fupi na kupa ww pimbi, na chuki zako hazibadilishi kua kama isingekua akili ya magufuli juu ya corona Tanzania ingekua sawa na kenya Leo hii
Ukwekwekwekwe kwa sababu unachuki zako ndio ubadilishe ukweli kua uongo πππ mama alishakuta mazingira mazuri sana na hana Cha kufanya kwa sasa zaidi ya kuendeleza miradi ile ile na hatua zile zile hata ukikasirika vumilia tu ndio haki ilivoInaongoza kwenye midomo yenu? Weka data tuone..
Sasa tunalinganisha miezi 5 na miaka 6 ya Mwendazake,mama sio mchunga ng'ombe kama yule mtu wenu mshamba asiyejua uchumi.
Unakurupuka,nimekuuliza saizi corona imeisha maana ndio kichaka cha kujificha..Corona imeisha na barakoa za nn sasaπππ au ndio nyie mliokua munasubiri lockdown na curfew
Aliletwa na mama ???? Aliemshawishi ni diamond pamoja na lil ommy bila kumsahau hamisa mobetoππππ Leo naona umeyabananga πππππ tulia urambe dawa sasaUnakurupuka,nimekuuliza saizi corona imeisha maana ndio kichaka cha kujificha..
π
View attachment 1947061
Unadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.Aliletwa na mama ???? Aliemshawishi ni diamond pamoja na lil ommy bila kumsahau hamisa mobetoππππ Leo naona umeyabananga πππππ tulia urambe dawa sasa
Ameletwa na mama ??? Yeye mwenyewe kwenye interview ansema mpango wakuja Tanzania ulikuwepo kipindi wanatoa nyimbo na diamond πππππUnakurupuka,nimekuuliza saizi corona imeisha maana ndio kichaka cha kujificha..
π
View attachment 1947061
Uhhehehehehhehehehehhehehehehheheheheheheh dawaaaaaaa imeingia sehemu stahiki πππππππππππUnadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
Uhhehehehehhehehehehhehehehehheheheheheheh dawaaaaaaa imeingia sehemu stahiki ππUnadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
Unadhani angekuja kipindi cha Dhalimu? Aje kuporwa pesa? Ana ujinga huo? Hii ni confidence kwa sera za Uchumi za mama.
Ameletwa na mama ??? Yeye mwenyewe kwenye interview ansema mpango wakuja Tanzania ulikuwepo kipindi wanatoa nyimbo na diamond πππππ
Ulikuwepo yes ila kuja kunategemea mazingira..Alete pesa kipindi Cha Magu anaumwa? Aje kuporwa?Ameletwa na mama ??? Yeye mwenyewe kwenye interview ansema mpango wakuja Tanzania ulikuwepo kipindi wanatoa nyimbo na diamond πππππ
Na corona je ??? ππππ Au umesahau corona Ina miaka miwili sasa hvi ushaanza kupanic sasaUlikuwepo yes ila kuja kunategemea mazingira..Alete pesa kipindi Cha Magu anaumwa? Aje kuporwa?
Kwanza bil.600 za covid mlizokopa na misaada mlipeleka wapi? Pumbavu nyie
Yaa imeingia hivi πUhhehehehehhehehehehhehehehehheheheheheheh dawaaaaaaa imeingia sehemu stahiki ππ
kwa hiyo fedha za budget ya 2021/2022 tuhesabu ni Marehemu Magufuli katenga? Kuweni na staha basiii...!Sikatai kuwa nae kama binaadamu alipata kasoro zake hususani swala la kuifanya chato mkoa. Shida ni kufumba macho na kupotosha mfano msemo wako wa mama katoa hela as if Magu alikua kaishia hapo wakati hadi plan unaijua na yeye mwenye kuimba kuifanya Dodoma kama Ulaya
Hawa wase,nge wanadhani wakimloga Magu ndio watu watasahau kumbe ndio wanaharibu. Halafu chaajabu hata raia waliokua wanamlalamikia Magu kabana pesa kipindi kile now wanamsifu maana samia anachofanya ni kuwalegezea watu wa kipato kikubwa na kubana tabaka la chini kama wanavyofanyiwa wakunya. Mfano halisi mobile txns ambazo watumiaji wengi ni tabaka la chini maana tabaka la juu unafanya txns kwa kuchanja card tuHumu jukwaani kumeshakua hovyo sana, kuna mpumbavu akisikia JPM katajwa anaingia mwezini, hatuwezi kumtenga JPM na maendeleo yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa hata nukta 1 sababu almost yote yeye ndio chanzo
Hatuoni kinyongo aliepo anavyoyaendeleza sababu hata JPM yapo aliyoyaendeleza kama Nyerere Bridge, Mloganzila, mwendokasi phase 1 na mengine mengi na yalipokamilika hakuacha kutoa pongezi kwa muasisi wa hayo
Tatizo hili jukwaa lishakua la kipimbi na sioni kama nina muda sana!