Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja mkoa mmoja usikua wa maana tu-compare na Chato Region!
Magu alikuwa anajenga miji siyo kusubiri ijengeke uje kutangaza eti mkoa mpya au jiji ,yeye akitaka kujenga mji anafanya kweli,kwa hiyo chato ingekuwa sehemu yenye maendeleo chini ya magufuli
 
Tatizo sio Chato kiuhalisia kulikuwa na mikoa ambayo ilipaswa kumegwa kwa ukubwa wao kama Kigoma, Morogoro nk lakini Magufuli alistopisha kutengeneza new administrative regions ila cha ajabu Chato ikapigiwa chapuo sasa sijui ni kujipendekeza kwa watendaji wetu kama tulivyoona huko nyuma ama ni direct orders toka juu hilo tunawaachia wenye mamlaka yaliyotokea yameshatokea tugange yajayo.
 
Leta credible source ya hiyo rebase ya 2019. Sisi hatufanyi rebase bila takwinu za Housing and population census. We did census in 2012 rebase two years later in 2014. Now we are in the process ya census rebase expected 2023/2024 mark my words last time rebase haikuingiza mining and telecommunication but this time around their weights will be added to the economy. We forecast the economy to expand to $90bn
 
Ivi ww uchumi ulisomea google sio? Tulifanga rebase 2019, lakini base year still tunatumia 2015 , kwanini ? Na usiniambie abari ya hali nzuri ya uchumi ndio kitu kilicho leta msulumo wa kuchagua 2015
 
Hii ndio shida ya kubishana na vizuu wanao jua kusoma economic documents like a magazine
 
Sasa kwa akili yako aliehamisha makao dodoma ni nani? Mipango yote uliyotaja tayari ilikua kwa phases za grand project ya kuhamia dodoma na yote hiyo tayari ilikua kwenye pipeline kuwa realised Magufuli akiwa hai

SGR dodoma, ring road, msalato, Magufuli city and everything sio trillion 1 wala 3 ni zaidi ya Trillion 5

Hapo bado viwanja vya mpira na mji wa michezo, mipango ni mingi aliipanga na mingi ilikua kwenye stages tofauti za utekelezaji!
 
Kwani walikua hawaingizi pesa kwa taarifa yako magufuli ndio aliewaekea mazingira wezeshi walikua wakidhulumiwa sana na kulipishwa makodi kibao yasiokua na umuhimu; tatizo lako wewe humpemdi kwa sababu kuna sehemu alikufinya kisawasawa
Kwenda huko we kenge jitu liliharibu bei za Mazao ya kilimo afu unaropoka hapa? Pumbavu

Soma hiyo πŸ‘‡

 
so Nigeria na GDP ya $500B.., na watu fukara zaidi Africa yoote mko juu yao?., na nyie ni watatu baada ya DRC kwa watu wengi fukara wa kutupwa.., hizi fikra zenu mliokota wapi? st. kayumba ama?
Ndio tupo wa tatu baada ya DRC kwa wingi wa watu mjini DSM lakini hatuna slums kama za jirani na Lagos.
 
Humu jukwaani kumeshakua hovyo sana, kuna mpumbavu akisikia JPM katajwa anaingia mwezini, hatuwezi kumtenga JPM na maendeleo yote yanayoendelea Tanzania kwa sasa hata nukta 1 sababu almost yote yeye ndio chanzo

Hatuoni kinyongo aliepo anavyoyaendeleza sababu hata JPM yapo aliyoyaendeleza kama Nyerere Bridge, Mloganzila, mwendokasi phase 1 na mengine mengi na yalipokamilika hakuacha kutoa pongezi kwa muasisi wa hayo

Tatizo hili jukwaa lishakua la kipimbi na sioni kama nina muda sana!
 
Ukubwa wa GDP unaenda sambamba na state subsidy na social welfare ambayo Tanzania leads in comparison to Kenya na ndio maana life is cheap in Tz cause the state bears the burden.
Kunyaland pia unga wanaonunua kwa retailers tayari una government subsidy lasivyo wangeuziwa bei mara 2 lakini bado life is too heavy for them!

 
Jinga wewe,kiwilaya cha watu wachache kinakuaje na huduma za hadhi ya mkoa?
Wilaya ambayo inakadiria kua na watu 500k kwann isiwe na hadhi ya kua mkoa au kwa sababu unachuki nae ndio kila kitu kibaya kwako punguza mihemko isiokua na tija πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nenda kavute zile bangi za chooni alaf uje
 
Sasa hizo hela unazosema alitoa mama si zilikua kwenye mipango ya Magu au unajisahaulisha plan ilivyokua. Mbona unajidanya mwenyewe mkuu? Hakuna kitu kibaya dunia hii kama kuujua ukweli halafu ukaamua kuupinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…