The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,850
Ni kwamba kila mtu ana style yake ya kupambania nchi yake hatuwezi kufanana, style yako wewe mimi siiwezi na wewe pia style yangu huiwezi, lkn mwisho wa siku message inakuwa sent cz lengo la huu uzi ni kila mtu kuhakikisha taifa lake linapata heshima inayostahili kwa njia yoyote ile.Haya umeshinda baba maana msg niliyotaka kukupa ni kuwa authentic moja ya post za kwanza dhidi ya anti-hegemony ya Kenya humu ndani zilikuwa zangu though simaanishi hii thread!
At that time jamaa walikuwa wakiweka ujinga wa wao ni best kwa kila kitu!
View attachment 1945060
Eastern Europe ni wewe mwenyewe mzee wa standards za Romania!Ni kwamba kila mtu ana style yake ya kupambania nchi yake hatuwezi kufanana, style yako wewe mimi siiwezi na wewe pia style yangu huiwezi, lkn mwisho wa siku message inakuwa sent cz lengo la huu uzi ni kila mtu kuhakikisha taifa lake linapata heshima inayostahili kwa njia yoyote ile.
Kila nchi ina madhaifu yake lkn mzalendo wa kweli anaangalia yale mazuri tu kuitangaza nchi yake japo maovu yskitokea hatuyafumbii macho, mimi nikiifananisha Tz na Eastern Europe shida iko wapi? Kwani ndio kusema Tz itakuwa Eastern Europe? Ni kwamba nafananisha miradi ambayo wenzetu wazungu walishaifanya zamani so na cc tuna try our best kukaribia walipo, wewe unasema eti nisifananishe Tz na Eastern Europe nitajie nchi ya Eastern Europe ambayo cc EA tumeizidi.
Au ulitaka niifananishe Tz na US au China je China au US hawana maeneo mabovu? Wewe baki na style yako lkn usione tuliobaki humu wote ni wapumbavu na kwamba hatuna haki ya kutoa mawazo yetu na kufurahia hatua inayopiga nchi yetu kwa style tunazojua sisi cz Jamii Forums niliijua mwenyewe, nikajiunga mwenyewe na bandle nanunua mwenyewe la kuperuzi humu hanisaidii mtu.
Sasa inabidi mjivunie ukenya wenu cz ukitaja mkenya kuna picha flani inakuja hata wewe mwenyewe unaijua, sasa mnaweka waethiopia basi muweke Wakenya wenye asili ya uzungu mana wale mnaoweka humu bila caption mtu anajua ni waethiopia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo sio wakenya wale sababu mababu zao walitokea nchi zingine? Pumbu wewe! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] And yeah, we're proud to be black Africans, melanin popping dadeq, mambo ya kujichubua ka mpendavyo, tuliwaachia maseng... [emoji23] [emoji23] [emoji23] (kando na weupe natural)
Nitajie nchi yoyote ya EA inayoikaribia Romania.Eastern Europe ni wewe mwenyewe mzee wa standards za Romania!
kuwa authentic mshikaji!Nitajie nchi yoyote ya EA inayoikaribia Romania.View attachment 1945118View attachment 1945119View attachment 1945122View attachment 1945123View attachment 1945124
Wewe mara ngapi unasema SGR yetu ni European Standard hapo huwa unakuwa authentic au sio?kuwa authentic mshikaji!
Ni AREMA standards in design and technicality! Au unabishana na hilo?Wewe mara ngapi unasema SGR yetu ni European Standard hapo huwa unakuwa authentic au sio?
Sasa punguza ujuaji wewe unapo comment mambo unayodhani yanakufurahisha hakuna mtu anakupinga so wacha na wenzio wacomment mambo wanayoona yanawafurahisha.Ni AREMA standards in design and technicality! Au unabishana na hilo?
wacha kuwa fake person!Sasa punguza ujuaji wewe unapo comment mambo unayodhani yanakufurahisha hakuna mtu anakupinga so wacha na wenzio wacomment mambo wanayoona yanawafurahisha.
Shida ni pale unapojiona uko perfect kuliko wengine huo ni usenge na nakwambia ukiendelea huu mjadala nitakuaibisha bora uachane na huu ufala cz huniwezi kwa shombo mm nakwambia kama unabisha endelea uone.wacha kuwa fake person!
Hata huchokozwi kidogo? Mzee peace and love mshikaji!Kuna watu wanajiona wanajua kila kitu yani wamejipa sifa ya u Mungu ngoja niachane nao good night.
Labda useme tunaweka mademu wa kizungu ili wajue tunawadharau na kuwagongeaTofauti Na Kenya tunaojivunia kuwa weusi, wabongo kila mara hushobokea wazungu. Ndio maana hata video zenu za muziki mmejaza wazungu Na mkiweka waafrika mnachagua wenye Ngozi nyeupe nyeupe.
Wa Ethiopia sio?? π π π πSasa inabidi mjivunie ukenya wenu cz ukitaja mkenya kuna picha flani inakuja hata wewe mwenyewe unaijua, sasa mnaweka waethiopia basi muweke Wakenya wenye asili ya uzungu mana wale mnaoweka humu bila caption mtu anajua ni waethiopia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi watakuwa VSP very stupid peopleMaza anawafurahisha wazungu sijui kwann yanii hana ata msimamoo tangu aingie kamzidi ata kenyatta kwa kusafirii
Hapana, mnashobokea ngozi nyeupe, ndo maana mademu wanajichubua sana kwenyu kuliko kwetu! π€£ π€£ π€£Labda useme tunaweka mademu wa kizungu ili wajue tunawadharau na kuwagongea
Mzee punyeto ni hatari ,naona umeweka mademu unao wapigia nyeto[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Wa Ethiopia sio?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1945228
View attachment 1945229
View attachment 1945230
View attachment 1945231
View attachment 1945232
View attachment 1945234
View attachment 1945235
View attachment 1945236
View attachment 1945237
View attachment 1945239
View attachment 1945241
View attachment 1945242
View attachment 1945243
View attachment 1945244
View attachment 1945245
View attachment 1945247