Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Level za Eastern Europe bado babu! πWewe mzee Geza Ulole wakati mwingine huwa unakuwa na mambo ya kipuuzi sana, hebu niambie hizi nchi unazichukuliaje wewe mzee.View attachment 1944746
Wakuu mnamuelewa huyu mzee au amelewa huyu, tafadhali wacha huu ujinga au nitakuvunjia heshima.Usifananishe Bongo na eastern europe Bongo ina-identity yake! Na kama unafanisha na nchi nyingine basi ziwe za maana! BTW kwa nn uiite Tanzania eastern Europe? Una ubwege gani?
View attachment 1944750
Wewe huna mandate ya kunipangia cha kufanya humu jukwaani, niko huru kufanya chochote mradi sivunji sheria za JF, kama wewe unaona bongo haifanani na hizo nchi fananisha na unazoona wewe zinafaa, hatuwezi kufanana macho, wewe vipi wewe yn unataka unachoona wewe na mm nione hivyo hivyo vipi wewe mzee wewe, huna mamlaka ya kunipangia humu ndani na mm huwa sipangiwi cha kufanya.Usifananishe Bongo na eastern europe Bongo ina-identity yake! Na kama unafanisha na nchi nyingine basi ziwe za maana! BTW kwa nn uiite Tanzania eastern Europe? Una ubwege gani?
View attachment 1944750
Kuwa na aibu mshikaji, Tanzania na eastern Europe da?Wewe huna mandate ya kunipangia cha kufanya humu jukwaani, niko huru kufanya chochote mradi sivunji sheria za JF, kama wewe unaona bongo haifanani na hizo nchi fananisha na unazoona wewe zinafaa, hatuwezi kufanana macho, wewe vipi wewe yn unataka unachoona wewe na mm nione hivyo hivyo vipi wewe mzee wewe, huna mamlaka ya kunipangia humu ndani na mm huwa sipangiwi cha kufanya.
Hii iwafikie wazee wa legacyMajaliwa to lay foundation stones for ten development projects
ippmedia.com/en/business/majaliwad-lay-foundation-stones- ten-development-projects
September 18, 2021
18Sep 2021
Correspondent
Kagera
Business
The Guardian
Majaliwad to lay foundation stones for ten development projects
PRIME Minister Kassim Majaliwa is today expected to lay foundation stones for ten development projects worth 855bn/- in five districts within Kagera Region.
The premier will be in Kagera for a five-day official tour whereas he is expected to visit and inspect implementation of development projects in Kyerwa, Karagwe, Biharamulo, Bukoba-Urban and Ngara districts.
Addressing journalists yesterday, Kagera Regional Commissioner, Charles Mbuge said that while in the region, Majaliwa will also inspect implementation progress of two privately owned projects.
βThe premier will inspect eight state-owned projects and another two privately owned companies. The state-owned project worth 845bn/- in total,β he said.
Mbuge said that in Biharamulo District, the prime minister will launch and lay a foundation stone for construction of a dry dock worth 2.6bn/- at the Nyakanazi area. In Ngara District he will launch a coffee processing factory worth 6bn/- and an 816bn/- hydropower project at Rusumo ward.
He said in Kyerwa District there are a number projects including a minerals processing factory worth 4bn/-, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) building worth 483.4bn/- as well as a project for construction of a 703m/- house for the district commissioner.
While in Karagwe District, Majaliwa will inspect two projects worth 6.9bn/- which includes rehabilitation of the Vocational Education and Training Authority (VETA) College.
In Bukoba-Urban District, Majaliwa will launch the Kemondo water project (15.8bn/) and hospital construction project worth 2.3bn/-
MY TAKE
Wish to know what building is that!
Mbn haueleweki sasa, kwamba hizo nchi ni za hovyo au zipo juu, punguza ujuaji.Kuwa na aibu mshikaji, Tanzania na eastern Europe da?
Wazee wa legacy waione kwenye jaladahio dry dock worth 2.6b at Nyakanazi area ndo hii
za ovyo! try to stay true to urself na si kupapatikia nchi za watu!Mbn haueleweki sasa, kwamba hizo nchi ni za hovyo au zipo juu, punguza ujuaji.
Nitolee upumbavu hapa, hizo nchi ni za hovyo kuliko 99% ya nchi za Afrika? Mbn wewe mzee ni mjuaji sn.za ovyo! try to stay true to urself na si kupapatikia nchi za watu!
Arusha na Dom,Hili ndio Jiji la lenye hadhi baada ya Dar kwa Tzn..Chuga at its best , mji mtamu sana huu asikwambie mtu
Nashangaa mafala wanafanamisha Tz na vinchi vya hovyo kama Ghana.View attachment 1944372
View attachment 1944373
PuskΓ‘s ArΓ©na - Hungary ππ€£π€£π€£Wewe huna mandate ya kunipangia cha kufanya humu jukwaani, niko huru kufanya chochote mradi sivunji sheria za JF, kama wewe unaona bongo haifanani na hizo nchi fananisha na unazoona wewe zinafaa, hatuwezi kufanana macho, wewe vipi wewe yn unataka unachoona wewe na mm nione hivyo hivyo vipi wewe mzee wewe, huna mamlaka ya kunipangia humu ndani na mm huwa sipangiwi cha kufanya.
Zimbru & Sheriff stadiums - Moldova πππ... Bado unabisha?Nitolee upumbavu hapa, hizo nchi ni za hovyo kuliko 99% ya nchi za Afrika? Mbn wewe mzee ni mjuaji sn.
usijipendekeza na nchi za watu! babuu...Nitolee upumbavu hapa, hizo nchi ni za hovyo kuliko 99% ya nchi za Afrika? Mbn wewe mzee ni mjuaji sn.
Unachokitafuta utakipata wewe endelea na huu ujinga wa kujifanya una shares Jf.usipendekeza na nchi za watu! babuu...
Hizi picha umuoneshe huyu mzee mwenye shares Jamii Forums Geza Ulole mana yeye anaziita hizo nchi za hovyo.Zimbru & Sheriff stadiums - Moldova [emoji23][emoji23][emoji23]... Bado unabisha?
View attachment 1944830
View attachment 1944832
View attachment 1944833
Haya Mzee wa eastern Europe! sio swala la share ila swala la one's pride on own country! Nilipoanza tifu na hawa jamaa wa Kunyaland siku-envision watazuka watu wa kujiita eastern Europe badala ya Tanzania! Feel proud of what u have!Unachokitafuta utakipata wewe endelea na huu ujinga wa kujifanya una shares Jf.