Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Explain why kenyan economy which was $78bn in 2019 at growth rate of 3% leaped to $97bn in 2020.
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibu mara 2 ya Tzn,na miaka ya 2015 plus uchumi wao umekua kwa wastani wa 5 plus ..

Imagine hadi mwaka huu growth rate yao iko juu ya Tzn,haikuwa hivi miaka 5 iliyopita.

Dhalimu mzilankende ndio aliharibu uchumi,miaka yake imekuwa useless, uchumi ulianguka akabakia kuleta propaganda kwamba mabeberu wanamuonea hadi kufukuza muwakilishi wao Tzn..
 
Kuhusu GDP viongozi wetu walifanya mambo ya kisiasa kui suppress GDP ili wasiwe kwenye LMIC maana ingewalazimu kukopa kwenye masoko ya nje kwa riba ya juu na pili trade pacts tulizosaini na mataifa ya magharibi zingekufa na hivyo kutulazimu exports zetu ziwe taxed na kutufanya tu saini trade agreement kama ya EU. Kwa miaka takribani kumi Tz imekuwa ikiwachenga IMF kwa ku under report GDP data ili waendelee kupata preferential treatment lakini naona IMF walikomaa sana end of 2019 hadi ikapelekwa serikali kutoshare data na hivyo kupiga marufuku taasisi yoyote ku report data za Tz bila Government approval.
 
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende?
..

Kusafiri na kupanda vitu kinahusianaje? Acha Rais akatuletee pesa, nilidhani unasema miradi imesimama kumbe ni porojo.
Na wewe ni mtu mwingine ambaye hujielewi yaani huyo mama Hana la maana anqchokifanya Nani amekuambia hela inapatikana Kwa Rais kutembea tembea magufuli hela alizipata wapi.Kila kitu kimepanda yaani Watanzania wananyonywa wakati Enzi za magufuli alipata hela Kwa kukukusanya Kodi Kwa matajiri.Nenda kwenye mitandao utaona Watanzania wapo kwenye Hali gani ni wewe Tu na chuki zako za kishamba.
 
Sio kila kitu ni chakuleta ushabiki wakindezi ...niambie ni lini Tz ili grow at 0 rate? Kama akuna izo 6 to 4 % of GDP inaenda wapi?
 
Wewe na nani mnamkumbuka Dhalimu Mzilankende?
..

Kusafiri na kupanda vitu kinahusianaje? Acha Rais akatuletee pesa, nilidhani unasema miradi imesimama kumbe ni porojo.
Toa matk apa shenzi yani linchi limekuwa km uharo akuna kitu kinacho fanyika ...kila bidhaa iko juuu Tunaenda km vichaaa kwa hali hiii tukutane apo 2025
 
Ww ni mafiii ata uchumi hujui kichwa kubwa ndio kitu umebeba fukara hadi wa mawazo, tokea hii nchi iubwe ni kwa kipindi cha JPM tu GDP ulipanda sana ukilinganisha na vipindi vingine na ndio sababu pekee ya kugikia MIC... your lunatic as alway
 
Mlipita zamani kulala chini ya viti vya Airports sababu ya ukata team ya taifa?
wasikuambie kitu hawa bongolala, team yao ya volleyball ya taifa ilifukuzwa Rwanda kwa kushindwa kulipia $50 only kwa kila mchezaji. Nini domo domo tu
 
Ww ni mafiii ata uchumi hujui kichwa kubwa ndio kitu umebeba fukara hadi wa mawazo, tokea hii nchi iubwe ni kwa kipindi cha JPM tu GDP ulipanda sana ukilinganisha na vipindi vingine na ndio sababu pekee ya kugikia MIC... your lunatic as alway
Ilipanda wapi? Weka namba kuonyesha ilivyopanda sio kutoa povu za kijinga hapa.
 
Oohooo... Kijana tutake radhi wazee..


Cheers.
 
Kama alikuwa na pesa ilikuaje deni la Taifa lilipanda twice ya deni lote la Taifa kuliko awamu zote Tangulia?

Kama alikuwa na pesa,vipi miaka sita hakuna mradi hata mmja alimaliza? Zwazwa wewe
πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…