Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina haja ya kukuelewesha wewe ni sikio la kufa
Utajua hujui,nimesema hivi tutakuwa tunaongea kwa namba..

Legacy inazidi kufukiwa 👇

Screenshot_20210918-072140.png


Screenshot_20210918-072233.png


Screenshot_20210918-072245.png
 
Kasarani Indoor at 5k
Kigali Arena at 10k

Our Upcoming sports arena will be jaw dropping
15k to 20K .capacity..if things go as planned ..we will see it over coming years ..In Dar or DodomaView attachment 1942941
Nyie ni kichekesho kweli, Team yenyu Iliyokuwa Rwanda walirudishwa kwa kukosa hela za kukidhi mahitaji yao na za kulipa host nation. Sasa si muanze huko(welfare) kwanza, kabla hamjarukia makuu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
$50 PER HEAD, TENA MKASHINDWA! 😬😬😬😂😁
 
kumfurahisha mzungu. masharti

Pesa zimeshatolewa kitambo, serikali ilianza kutoa taarifa siku nyingi tuu..

Kwamba nchi ikose pesa kwa sababu ya mburula mmja Aliyekuwa analeta hadithi za uganga na maji ya upako badala ya sayansi,pumbavu..
 
Nyie ni kichekesho kweli, Team yenyu Iliyokuwa Rwanda walirudishwa kwa kukosa hela za kukidhi mahitaji yao na za kulipa host nation. Sasa si muanze huko(welfare) kwanza, kabla hamjarukia makuu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
$50 PER HEAD, TENA MKASHINDWA! 😬😬😬😂😁
Meanwhile kwa jirani mambo iko hivi 👇

Screenshot_20210918-072659.png
 
Differentiate between a fact and opinion. These are facts.

View attachment 1942665

View attachment 1942666
Like i said your fool...first those which you call data mean nothing if they can't ressemble the reality, we are talking about to connect all of our villages with electricity, yet you fool show up with nonsense list , if that international agent fail even to estimate the actual number then they are fool as your
 
Hawa TANESCO wana thread yao humu Jamii Forums cha kushangaza ukiwaambia ukweli wahusika wanaomba namba yako baadaye wanaanza kukupigia na kuanza kusema kwamba hakuna tatizo hilo na kulazimisha kupajua kwako pamoja na vitisho vya hapa na pale.

Wababaishaji sana hao jamaa ndo zao ukitoa taarifa wana respond baada ya wiki mbili na zaidi Acha tumuone huyu mwamba kama atabadlisha kitu au ndio hadithi za abunuwasi
 
Back
Top Bottom