Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli alitoa vitambulisho unalipa elfu 20 usumbuliwe mwaka mzima sasa wenye maduka ili kukwepa kodi wakafunga maduka na kuuza nje kisha wanachukua kitambulisho cha machinga,ndiyo maana wamachinga wengi wanamizigo ya vidhan za maana
Sasa huku vitambulisho bure na wiki mbili nyingi ushakipata
 
Chai ya moto bila sukari... 😂 😂 😂 Pole
 
Kenya haijaishindwa kulipa kama Tanzania. Kenya haijaisamehewa deni kama Tanzania.
Na tena wamekopeshwa juzi tena na India baada ya IMF kurusha ndoano kule kwa wahindi. Alafu utamsikia falamaga mmoja akisema "oh, tunatumia hela zetu za ndani kwa ndani, hatukopi" pumbu kama pumbu! Kudadadeki! Nchi kama Amerika inakopa, itakuwa njugu ya nchi ka Bongolaland? 😂 😂 😂 😂
 
Mbona unacomnent kwa uchungu hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maybe wewe ndio unafeel uchungu and that's why you are hiding behind emojis.
 
bah blah blah
watch what happens when we compare the two cities close-up
 
Hiyo yote uliyo piga ni sehemu tu ya kakoo ,kuna posta mpya na post ya zamani kuna upanga mashariki na upanga magharibi kuna gerezani
Mwisho mtakuja na stori za - "kuna Dar mpya na ya zamani, Mwanza mpya na ya zamani, Zenji mpya na ya zamani" na blah blah blah nyingi zisizo na kichwa wala mkia. 😂 😂 😂 😂
 
80% of Tanzania total debts are external, they don't have the capacity to finance their country. That's why grants makes 20% of their total revenue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…