Kwani hapa ni city centre? and rain water isn't an issue, understand one thing not all sections of a highway lazima iwe na mifereji.,Highway haina mifereji! Juakali style!
Ulianza na bus ni za wahindiYoutong linakimbiaje kw vumbi bana[emoji1787][emoji1787]
Tena main road mazee kabisa nalo linakatiza kw speed ya mwanga
Mwanza iko na barabara ya viwango kama za Arusha kweli?.., a rhetoric question., don't answer, jibu tunajua. 😂 😂 😂barabara zenu viwango viko chini sana! Mwanzo nilikuwa nafikiri ni udongo wa huko ila Arusha pia wana udongo kama wa Nairobi! Na barabara zao ziko hivi!
Miaka 12 iliyopita technologia ilikwepo sema kiongozi alikua yule boya mwenzako mwenye ubongo uliooza kama wewe. Na ntaibookmark hii post yako kama nature itaendelea kuvumilia miozo kama wewe miaka 12 ijayo ntakukumbusha uone kama hawajaendelea na upuuzi huuhuu wa sensa
Hayo utajua mwenyewe.Kama ni hivyo kipindi anaondoka tutegemee 1USD = TZS 3,500 na ushee
Kumbe kapoteza nikajua kaongeza thamani,mpaka hapo huna hoja na unaonesha ulivyo mjinga..Cheki Magufuli sasa, kakabidhiwa nchi 1USD = 2,165 miaka mitano baadae ikawa 2,327. kapoteza just 162
Ndio maana nasema wewe ni mjinga,sijui hata kama unajua uchumi na kama unajua,hivi inflation ipi ni rafiki kwenye uchumi Kati ya 5% na amvayo ni Below 10% but above 5%..December 2005 Kikwete alikabidhiwa nchi vocha ya buku ikiitwa dolla: 1USD = TZS 1,000.
December 2015 anapoachia ngazi ilikua 1USD = TZS 2,165.
Hapo ndio umeandika nini sasa? Ulichojibu kinahusianaje na sensa? Umechanganyikiwa na stress za maisha ya ujaneWewe ndio ubongo wako umeoza kabisa ndio maana mawazo yako yanabaki kwenye confort zone. Ndio maana mtu kama Magu mwenye kufikiria outside the box ukashindwa kumuelewa kwa sababu ubongo wako hauna uwezo wa kudigest ideas zake
Unaropoka tuu hapa huna jipya wala ushahidi wa kuthibisha upumbavu wako..Miaka 12 iliyopita technologia ilikwepo sema kiongozi alikua yule boya mwenzako mwenye ubongo uliooza kama wewe. Na ntaibookmark hii post yako kama nature itaendelea kuvumilia miozo kama wewe miaka 12 ijayo ntakukumbusha uone kama hawajaendelea na upuuzi huuhuu wa sensa
Huoni wewe na nani? Kama huoni endelea kuona legacy 😆😆Porojo tu hizo mbona hatuoni vitu live miradi ni ile ile aliyo acha magufuli the great
Wa kusubiria ni wewe sio mimi,we have already secured a place till 2030.Subiri muda ndiyo jibu
Kotoka Int'l Airport(Ghana)Waghana wana wendawazimu kama wa Wakunya wamejenga terminal hapo Kotoka Airport Accra basi unaskia vitu kama the best in Africa! Wakati sioni tofauti kubwa na terminal 3 ya AAKIA Zanzibar!
VS
Wacha upenzi wa kipuuzi, kwani Yanga kutangaza nchi yake ni kosa? So Simba ndio yenye haki ya kutangaza hii nchi? Kiburi kimewajaa mpk mnasaau kwamba Yanga ni mkubwa kuliko Simba.
MY TAKE
Wastage of resources Yanga hii inayoenda kutolewa round ya kwanza CAF ndo inaenda kutangaza Utalii? Kweli? Kumbe matangazo ya bure! [emoji2297] [emoji2297] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji2369] [emoji2369]
Kumbe Mchina ndo anajenga mlivyokuwa mnajfanya ati jeshi linajenga?Laying the Final T-Beam for the SGR-MGR Link -ONWARDS TO KAMPALA NOWView attachment 1942071
Nawaambia kweli njia za juu zinapendezesha mji nyingine ni shida tuWivu isikunyonge kaka..,zoea uchungu, vumilia, najua ni maumivu kwa uzalendo ulio nayo kwa Tanzania., pole maendeleo ya kenya zaidi ya Tz sio makosa yetu,.
Oya komora096 wewe unapatikana wapi mombasa au sasa hivi upo nairobi nataka kuja tufanye kautalii kidogo nataka Unitembeze nairobi yote nishuhudie uzuri wa nairobi vipi upo tayariUmejibiwa kisomi mzee[emoji1787][emoji1787]
Electric sgr kwan reli ni za umeme
Teargas 3 level interchange ni infrastructure gani hyo[emoji41]