Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,193
- 107,792
tatizo Yanga ni mdebwedo meneno na fitna nyingiii! Ati "watapindua meza kibabe" nani kawaambia watakuta meza?mim ni Simba... kwenye mashindani ya CAF nataka yanga ifike mbali sambamba na Simba sababu ya nchi.. Yanga nao wakiingia makundi tutawavalisha Visit Tanzania
Huyu mama ukimcheki vizuri kisaikolojia hasa alipo jaribu kufuata nyayo za magufuli kutatua na kusikiliza matatizo ya wananchi live utagundua kuna damu mikononi mwake inamsuta moyoni anapoteza komfidensi kabisa mbele ya matatizo ya wananchi ,hadi sasa hivi kaacha kabisa kusikiliza matatizo anayakimbia [emoji362]tarehe17/Si ndio hapo, hivi kweli kazi ndio zimeisha kiasi hicho mpaka raisi awe na mda wa kurecord series?
Ushafika watamu na diani ama bado wajiona upo kijijini
Nawakumbusha tena kuwa fukwe za zanzibar hazina mpinzani ea
Umerudi online[emoji1787]Walalahoi wengi mibasi ndio usabiri wao mkubwa...
Lkn nchi za watu wenye akili za kubadili badili mambo huaga hawakosi optionsi
Kuna mkenya youtube alisema kabla ya kufika zanzibar alikuwa anadhani kenya ndiyo inafukwe nzuri ila baada ya kufika zanziba kabaki mdomo wazi ajawai kuona fukwe zinangaa na maji safi kama kiooUshafika watamu na diani ama bado wajiona upo kijijini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀 Option nyingine anamaanisha punda na magari ya mizigo
these equipment cost money. Slow with timeHii cruise ship terminal yenyu ni ya kifalamanga (kijuakali) sana kama SGR platforms yaani unashuka kwa ship halafu unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unashuka kuchukua luggage! A simple boarding bridge/embarkment bridge similar to airbridge in airports could help!
Inanikumbusha SGR Terminal zenyu unaingia unapanda ngazi kwenda floor ya kwanza halafu unavuka rail kwa bridge kabla ya kushuka kwa ngazi kuingia platform!
this is good. I think Kenya should emulate thisPoint of correction Tanzania government ina control sector ya usafiri kwa Ku set standards ikiwemo mfumo wa bei ya ticket, safety na mengine huku huwez ukajitawala unavo jiskia.
needs money au juakali planning?these equipment cost money. Slow with time
HAKI ZA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA USAFIRI WA NCHI KAVU NA MAJINI KWA MUJIBU WA KANUNI ZA USAFIRISHAJI ZA MWAKA 2007 GN.218/2007this is good. I think Kenya should emulate this
hao ndiyo wazee wa kuchimba mashimoHiyo picha ni nini?naona matofari kila upended au ndiyo zile intachenjii zao wanazo tusumbua nazo hapa kila kukicha wakati mambo kwa ground ni tofaut[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
As a matter of facts kuna standards mpaka za magari ya tour! Huwezi ukakuta ati Toyota Hiace inasajiliwa kusafiri mikoani kibiashara! si unakuwa na Isuzu lorry ghafla umeamka na kuota biashara ya abiria una-convert chassis kuwa bus!this is good. I think Kenya should emulate this
Wakenya watu wa kauli mbili sana. Mda si mrefu mlikua mnajipiga kifua baada ya kuona mnaloose sasa mnaleta slogan za sizitaki mbichi hizi. Wee endela tu kusafiria punda, usiseme sikukuonyaWalalahoi wengi mibasi ndio usabiri wao mkubwa...
Lkn nchi za watu wenye akili za kubadili badili mambo huaga hawakosi optionsi
2025 ajikatae tuHuyu mama ukimcheki vizuri kisaikolojia hasa alipo jaribu kufuata nyayo za magufuli kutatua na kusikiliza matatizo ya wananchi live utagundua kuna damu mikononi mwake inamsuta moyoni anapoteza komfidensi kabisa mbele ya matatizo ya wananchi ,hadi sasa hivi kaacha kabisa kusikiliza matatizo anayakimbia [emoji362]tarehe17/
Ushaanza kulialia sasaYani mtu anakwambia eti wanasafiri sana kisha akileta kitu ni dar tu
DSM ni business hub just like Nairobi!,kukiwa na mzunguko mkubwa DSM haimanishi,Lindi,tanga bagamoyo,bunda,mtwara etc hakuna shughuli zinazoendelea,mfano jinsi watu wanavokuja Nairobi kutoka,marakwet,kitale,muranga,malindi etc wote wanazamia Nairobi?Yani mtu anakwambia eti wanasafiri sana kisha akileta kitu ni dar tu
Battle finito 🙂Ushaanza kulialia sasa
Hku sisi sio lazima uzamie nairobi, kwn unafikiria zile interchange na bypass ni za kazi gani...DSM ni business hub just like Nairobi!,kukiwa na mzunguko mkubwa DSM haimanishi,Lindi,tanga bagamoyo,bunda,mtwara etc hakuna shughuli zinazoendelea,mfano jinsi watu wanavokuja Nairobi kutoka,marakwet,kitale,muranga,malindi etc wote wanazamia Nairobi?