nabadooooo.. acha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizi mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. tz hakuna kiwanda cha mabasi..
nabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu
Okay, a deadline is what warrants your assumption.cause madam President gave a dadeline on that aside rural electrification that the progress is in a sorrow state!
mabus yao hata mtoto mdogo kwa hesabu za kindergarten anaweza kuyahesabu
Afghanstanπ€
Nimecheka kweli yaani Kenya bado kuna mabasi mizigo inapakiwa juu ya roof dah kweli stone age transportation.Huwa mnapenda kujidanganya sana, just because we don't post our buses doesn't mean that Kenyans are not traveling.
View attachment 1937918
View attachment 1937919
Hebu nioneshe kiwanda chenu cha kutengeneza mabasinabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu
Animated graphics ndio real life Kunyaland?checki maneno. luxury kenyan buses View attachment 1938009View attachment 1938010View attachment 1938011
Wakenya wana kipaji cha sura na maumbile mabaya.
Kha!View attachment 1938112
Unagongaje manzi wa dizain hii? Dem anakipara halafu dah! Forgive me lord!
Hahahahaha, hawa jamaa wanagonga hadi mbuzi ndio washindwe kugonga demu mbovu
Kwenye REA Jamaa kapambana sana, tika vijiji 2000 mpaka 10,000 siyo Jambo Jepesinimekuacha si kwa sababu nimekubaliana na hio post ulioleta.. probably hujui uhalisia.. afu husemi katumbuliwa sababu gani.. mara unarukia hili mara hili jingine... you mean he was worst in all those projects?
FYI, kwenye REA, believe it.. he was the best one kufatilia miradi ya REA..
kinyerezi II haijaisha nn na mim nipo huko???????
Hujambo kaka? Jana kuliendaje?π€π€πππππππ.,
Kocha mbwa sana yule.Hujambo kaka? Jana kukiendaje?.,
Ilichoma bet?ππππ., ugua pole poleππKocha mbwa sana yule.
Njia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira, Man u ni timu kubwa na yenye wachezaji wa viwango vya juu, unapocheza na vitimu vidogovidogo kama kale katimu ka jana huwezi kuogopa eti kisa mchezaji wako mmoja kapewa red.Hujambo kaka? Jana kuliendaje?.,
Mlichemsha jana, Man Useless as I call it ilichomea gamblers betππππNjia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira, Man u ni timu kubwa na yenye wachezaji wa viwango vya juu, unapocheza na vitimu vidogovidogo kama kale katimu ka jana huwezi kuogopa eti kisa mchezaji wako mmoja kapewa red.
Pale tulipopewa red nikadhani atamtoa Van de beek aingie Greenwood alafu atamtoa Bruno/Pogba aingie Varane zen tungecheza 4-4-1 au 3-5-1 kwamba unaua fowadi mmoja unabaki na cr7 mbele mana aliwaweza mapema.
Cha ajabu kocha katoa midfield kaweka beki mana ake anakaba mbele ya watoto, alafu katoa forward (CR7) kaingiza kiungo baadaye anatoa kiungo anaingiza forward yani hajitambui anafanya nini.