Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu

Kenya hakuna kiwanda cha mabasi acha ufala, fabrication na body building inafanyika hapa Tz as well,
See this video it might help you understand

infact kenya is THE BEST Bus and OilTank Fabricators in the whole continent of africa! exporting its products to a vast majority of countries in the region 👇 This is just one company
2021_09_15_00.47.21.jpg
 
nabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu
Hebu nioneshe kiwanda chenu cha kutengeneza mabasi
 
nimekuacha si kwa sababu nimekubaliana na hio post ulioleta.. probably hujui uhalisia.. afu husemi katumbuliwa sababu gani.. mara unarukia hili mara hili jingine... you mean he was worst in all those projects?
FYI, kwenye REA, believe it.. he was the best one kufatilia miradi ya REA..
kinyerezi II haijaisha nn na mim nipo huko???????
Kwenye REA Jamaa kapambana sana, tika vijiji 2000 mpaka 10,000 siyo Jambo Jepesi
 
Hujambo kaka? Jana kuliendaje?.,
Njia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira, Man u ni timu kubwa na yenye wachezaji wa viwango vya juu, unapocheza na vitimu vidogovidogo kama kale katimu ka jana huwezi kuogopa eti kisa mchezaji wako mmoja kapewa red.

Pale tulipopewa red nikadhani atamtoa Van de beek aingie Greenwood alafu atamtoa Bruno/Pogba aingie Varane zen tungecheza 4-4-1 au 3-5-1 kwamba unaua fowadi mmoja unabaki na cr7 mbele mana aliwaweza mapema.

Cha ajabu kocha katoa midfield kaweka beki mana ake anakaba mbele ya watoto, alafu katoa forward (CR7) kaingiza kiungo baadaye anatoa kiungo anaingiza forward yani hajitambui anafanya nini.
 
Mlichemsha jana, Man Useless as I call it ilichomea gamblers bet😂😂😂😂
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom