Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hata wewe iba bhana, usilete stress zako za ufukara hapa! 🤣 🤣 🤣Hawana investment zozote za maana, eti wanakua billionaires kwa kukadiriwa ufisadi walio fanya wakiwa madarakani na sio kwa investments zinazoingiza mapato?
Nashangaa pia ruto mnasema ni one of the prominent richest Kenyan wakati hana kitu 😅😅😅
View attachment 1932526
Sasa huyu ana mali gani? 😅
baada ya kuota ndoto alisikika mlevi mmoja,One day all/Most East African banks will be owned by Kenya[emoji110][emoji91][emoji91]Wengine wakishangilia Vita za Kagera
ulitaka ale albino sio🥱baada ya kuota ndoto alisikika mlevi mmoja,
Kwao karibia vigogo wote wa mabasi ni wahindi[emoji1787][emoji1787]Kwanza nchi yao inamilikiwa na wahindi, industries zote in Tanzania ni za wahindi with few owned by whites. The top ten richest people in Tanzania are Indians, the transport sector is being raped by Indians. Everything economical is owned by Indians [emoji23][emoji23][emoji1787]
Tanzania ardhi ni ya serekali nyinyi ni skwota tuSasa kenyatta akiwa mkenya ni sawa kuchukua ardhi yote ya kenya na kuwa achia wakenya wenzake madampo ya slum ,kibera
Rolls-Royce Ghost Series 2 spotted somewhere in Kenya... 😂 😂 😂 😂 Mambo ya kawaida aisee 👇
Hatuna ujamaa wa kipumbavu hku kwetu, toa huduma bora kw bei inayoendana na huduma yenyewe..Why not set standards to all networks to be reliable and provide quality of service to all?
Don't you guys have the equivalent TCRA (Tanzania Communications Regulatory Authority)?
They ensure the affordability and quality of service. Otherwise una pigwa fine ya maana.
Tuonyeshe kampuni kubwa ya unga tz ambayo si ya mhindi au ya maziwaMo hajamshikilia mtanzania yeyote, tofauti na ajira anazotoa na kununua mazao ya watanzania hajamshikilia mtu, ninyi kula na kulala ni kwa jeuri ya muhindi, muhindi akiamua kuweka makufuli kwenye estates zake za Nairobi, wengi wenu mtalala City toilets
Muhindi akiamua awawekee sumu kwenye unga wake hakuna mkunya atapona [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuonyeshe basi la route ya dar moro tu km unaubavu huo[emoji1787][emoji1787]Hizi bus [emoji591] zinaenda kufanya 100km routes lakini Kunyaland ni vipanya [emoji590] ndio vinafanya 500 kms journey [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 1931790
Na vile vyenu vya kuelekea tanga mnaviutaje vile[emoji1787][emoji1787]na hivyo vipanya huwa wanaviita express car
Analipwa shingapi kw mwezi[emoji1787][emoji1787]Gari anayotembelea controller wa 3+$ billion sasa [emoji28][emoji28][emoji28]
Hii gari huku Tanzania ni za local government aisee [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1932417
Waige nchi iporomokeZama zake Moi anapeana maziwa ya bure kwa watoto wote wa shule Kenya nzima wakati wa lunch....maziwa ya nyayo yale, sasa atoke Mo ama Mh Samia aige hivyo nitoke JF, wafilisike hawa na kujigamba kwote! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kuzalisha bidhaa kw maana ingine ni production of services[emoji848]Wewe mbwa hujui uchumi thus y hujui maana ya productions, unadhani uzalishaji ni bidhaa pekee, hujui kwamba services nazo ni productions.
Domo kanunua RR feki, km katoa kiwandani kweli mbona hatukumuoni akichana mwenyewe zile sealed kw viti, dashboar, usukani" yani alivyokuwa na misifia eti asifanye hvyoHii inanunua familia ya Moi, Biwott na jangili nginaa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1932483
Za vijana wa kawaida huku kwetu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Biwott na Uhuru labda labda wainunue Bongo yote maana hawana stress na hela ka wewe! 🤣 🤣 🤣
Hawajui cadillac huku wanatemebelea vitoto mda mwngine wanaenda kucheza nazo kw vumbiView attachment 1932648Za vijana wa kawaida huku kwetu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Biwott na Uhuru labda labda wainunue Bongo yote maana hawana stress na hela ka wewe! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1932637
View attachment 1932638
View attachment 1932639
View attachment 1932640
View attachment 1932641
View attachment 1932642
View attachment 1932643
View attachment 1932644
View attachment 1932645
View attachment 1932646
View attachment 1932647
Kwahiyo hua huamini, Dar-moro tu hayapungui mabasi 10, hiyo ni minimum no inaweza kuzidi,Tuonyeshe basi la route ya dar moro tu km unaubavu huo[emoji1787][emoji1787]
Mtawadanganya wapuuzi km nyie
Cadillac kw vumbi na vitoto wakati kw majirani hilo ni gari la kifahari la msanii flani[emoji1787][emoji1787]View attachment 1932650