Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwa Moi sio kwa Biwott wote ni chokoraa sababu hawana services wala commodities zozote zinazotumika at least na 500k kunyans at on 5 days utilisation interval demand
Wewe sasa umekuwa confused, umejua ni watu wangapi wanataza KTN TV?, umejua ni watu wangapi wanaskiliza radio Maisha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe sasa umekuwa confused, umejua ni watu wangapi wanataza KTN TV?, umejua ni watu wangapi wanaskiliza radio Maisha? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Sasa Tanzania kuna media ngapi? Mpaka kina diamond na Konde boy wanaanzisha media as to drinking water, ndio bragging pillars za 3+$billion man? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sasa Tanzania kuna media ngapi? Mpaka kina diamond na Konde boy wanaanzisha media as to drinking water, ndio bragging pillars za 3+$billion man? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Owning a media is not a big issue, hata wewe unaezakuwa nayo. The issue comes in when we start talking about financial statements, ebu nionyeshe financial statements za hizo media za Diamond and Konde girlπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ati Konde girl... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Owning a media is not a big issue, hata wewe unaezakuwa nayo. The issue comes in when we start talking about financial statements, ebu nionyeshe financial statements za hizo media za Diamond and Konde girlπŸ˜‚πŸ˜‚
Hii inanunua familia ya Moi, Biwott na jangili nginaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii inanunua familia ya Moi, Biwott na jangili nginaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 1932483
Hiyo ni pipi kwao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Sio kwa Moi sio kwa Biwott wote ni chokoraa sababu hawana services wala commodities zozote zinazotumika at least na 500k kunyans at on 5 days utilisation interval demand
Mimi kusema ukweli wa Mungu huyo Biwott cmjui kabisa ndio namsikia leo, kwani forbes wanasemaje kuhusu billionaire wa EA.
 
Shareholders wa Britam, alafu kuna mchawi atakuambia kuwa Britam Tower is not owned by Kenyans πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shareholders
NameEquities%
Africinvest Group442,779,88117.5%
Equity Holding Ltd. /Kenya/405,000,00016.0%
Jimnah Mwangi Mbaru194,800,1007.72%
Benson Irungu Wairegi101,356,3004.02%
Peter Kahara Munga75,000,0002.97%
James Njuguna Mwangi75,000,0002.97%
ICM InvestmentBank AG487,0000.019%
Company contact information
Britam Centre Mara and Ragati Road
PO Box 30375
KE-00100 Nairobi
 
Hao wengine umewaficha wapi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hawana investment zozote za maana, eti wanakua billionaires kwa kukadiriwa ufisadi walio fanya wakiwa madarakani na sio kwa investments zinazoingiza mapato?

Nashangaa pia ruto mnasema ni one of the prominent richest Kenyan wakati hana kitu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sasa huyu ana mali gani? πŸ˜…
 
Ruto na viongozi wengine wote wa kenya ni kama kunguni tu
 
Kenya is over stretching it's hands further,even in Europe and SADC,,EastAfrica,USA,etc everywhere investing,using our God given brains well and fighting to get better,we kaa tu hapo ukishangilia Ujinga no wonder you still remain the same,Juzi tu Ethiopia wameingia kwapani,Tunateka kotekote mpaka Somali landπŸ”₯πŸ”₯ Yani Mpaka Raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…