Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Nyinyi endeleeni kushangilia expensive bundles, kwani umeskia hukuu ndio hatuangalii quality
 
Tanzanian BRT is failed system [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]


Waandishi wa habari wakati mwingine cjui ni kukosa elimu madhubuti au ni vipi, mtu anaandika kabisa basi la mwendo kasi limegongana na pikipiki wakati hiyo ni njia ya basi za mwendo kasi.

Hapo ilipaswa kuandikwa "Pikipiki yagonga basi la mwendo kasi wawili wafariki"
 
Your BRT is failed 😂😂🤣
 
Huwa hasomi kilichomo.

Yeye huwa kichwa cha habari kinamtosha tu!

"Walivuka wakati taa nyekundu imewaka"
 
Huwa hasomi kilichomo.

Yeye huwa kichwa cha habari kinamtosha tu!

"Walivuka wakati taa nyekundu imewaka"
Kumbe kama Kawaida yake anadandia treni kwa mbele, mm nikawa nashangaa zitagongana vp wkt BRT ipo kwenye njia yake?

Ila usimlaumu huyo pimbi ni ushamba unamsumbua, c unajua kwao hamna BRT [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…