Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenifanya nicheke leo😂😂
 
Kweli kabisa mkuu.
 
Kuna mjinga mmoja wa kikunya alishawahi kuleta humu kipicha kilichoandikwa eti Rwanda ina mtandao mrefu wa reli kushinda Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nacheka sana, mwengine anakwambia Kenya ina kms of paved road nyingi zaidi ya Tz unabaki kucheka tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mm sioni mradi wowote wa maana alioanzisha, labda azindue LNG ndio ntamuona kidogo angalau, alisema ameipa bodi tpdc miezi sita waje na suluisho, mwezi watano huu tayar mwezi ujao tunagonga hodi
 
Wacha uboya wewe, huna habari za kuleta siku hizi, hadi umeendea ma celeb wa Kenya... Kweli mihogo iko akilini aisee! 🤣 🤣 🤣
 
nenda Kingston, Jamaica,. kuna street inaitwa Jomo Kenyatta Avenue, ata mtoto wa Joseph Hill, wa Mighty Culture anaitwa 'Kenyatta Hill', alafu asa?
Kwasababu zipi street ya Jamaica iitwe Jomo Kenyatta [emoji1787][emoji1787][emoji190][emoji190][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1664][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji2781][emoji117][emoji3545][emoji117][emoji529][emoji117][emoji240][emoji117][emoji205][emoji86][emoji706][emoji2781]
 
Eti street ya Jamaica iitwe Jomo Kenyatta [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji240][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji205][emoji86][emoji90][emoji1664][emoji117][emoji529][emoji117][emoji240][emoji240]
 

Dam dam kama yanga au sio 😅
 
Nyie mbwa ona [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…