Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Pole sana mkuu . Hakuna mkono wa mkunya hapo....jokes , inabidi uwasikilize wataalamu hili upone haraka
 
Aiseee Dar haijawahi kuwa hv c Dar ya sasa wala ya 60s.
 
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Aiseee ni bodaboda au? Pole sana mkuu and get well soon.
 
Mihogo mie naijua lkn nilishangazwa sana na watz walivyoipaisha..
Yani kwenj hyo inatumika km meal bana. !!
Alafu nikuulize, kwn DSTV ni premier league pekeake, walishindwa kumtoa wababe atakuja Azam
Tunazungumzia within tz, premier ndio zaidi kabla ya hata hayo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…