Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yote Fedha za mradi wa BRT Phase 3 and 4 hela zilishatoka...ila naona wanafanya mambo slow sana sijui hata kama tenda washatangaza za phase 4

Mm ndio nashindwa aisee mambo yanaenda polepole kweli angalau phase 3 ingekuwa imeeanzaa huwezi labda wanatafuta pesa za interchanges kwasababu kwa fedha zilizotolewa ukijumuisha na interchange yatakayojengwa haitoshelezi expecially hii phase 4
 
Umempa shule nzuri sana huyo kama hataelewa aje ajionee jinsi brt ilivyo kuliko kuiona kwenye videos tuu. Tena akija atajifunza mengi tuu na kuona catenary system za sgr na modern bus stations zilivyo na kama ataongeza siku za kukaa tumualike Simba day aone jinsi a modern footbal stadium unavyokaa sio kuangalia kwenye TV tuu.
 
Mm ndio nashindwa aisee mambo yanaenda polepole kweli angalau phase 3 ingekuwa imeeanzaa huwezi labda wanatafuta pesa za interchanges kwasababu kwa fedha zilizotolewa ukijumuisha na interchange yatakayojengwa haitoshelezi expecially hii phase 4
Yeah labda uniambie phase 4 ila by now tungetegemea phase 3 kuanza .
plan ilikuwa by 2030 hadi phase 6 iwe imeisha and running lakini it seems Mwaka huo tutakua ndo tunaanza phase 5 labda
 
How waweke six lanes wakati wametoka kujenga lami mpya soon na taa washaweka pembeni
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Barabara ipi hyo wanayotaka kuipanua tena.
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Hio itakuwa ngumu mzee baba ndo kwanza kipande cha mwenge kimetoka kujengwa ..wangekijenga kabisa ki six lanes sawa..ila naona washahenga four lanes na wameweka Na taa na system ya sewage nzuri..unategemea vibomolewe waweke upya...

labda uniambie wabane space ya kati kati itosheleze which sidhan kama itakuwa hvyo...

Hiii itaahitaji interchange pale Mwenge na Flyover morroco ili kurahisisha kupishana..ila Six lanes sioni..hata Mbagala brt ni 4 lanes bado

Wanaamini BrT itafanya normal traffic ipungue

anyways we are on road to Mega City so by 2025 we should start thinking of Elevated Light Railway
 
Nmesema kuanzia mwenge mpaka tegeta sio moroko,
 
Ishu ni funds ...serikali ime base kutumia loans kwenye ku develop BRT systems..tukitaka Extra lanes lazima budget iongezewe zaidii...kiukweli itakuwa poa ila sioni ikifanyika...wangeza na mbagala maana ..hyo ina magari mengi sana

Inafaa tujipinde aisee hvi 4lanes havitoshelezi kabisa alafu kwa kasi ya Dar inavyokua baada ya miaka mitano tuaanza upya tena kuifumua rodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…