Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli Tanzania has no shortage of fools😂😂😂, how can a bus with a door on the left side be served by stations on the right side of the bus? Kwani passengers watakuwa wanashuka kitumia dirisha ama? Please hata kama ulizaliwa na ujinga please try to adapt to modern ways of reasoning 😂😂🤣🤣😂
 
Kiuhalisia Bakhressa yuko karibu sana na Dangote kwa utajiri, it's a matter of time Forbes wakisha m-profile Bakhressa ndio Afrika itajua vizuri...
 
Nakuunga mkono kwa hili
Mo n mbabaishaji saba niliwahi kaa na wafanyakazi wa kiwanda chake cha nguo pale moro (polyster /21 century) huezi maini mtu anafanyakazi 12hrs+/6 days analipwa 150000 kwa mwezi
Pia jamaa ankwepa sana kodi nliwahi ona nguo zinazalishwa pale ila cha ajabu znapigwa made in nigeria niliumia sana. Kile kiwanda n kichafu balaa na wafanyakazi wamechoka sana hadi wanatia huruma
 
Utapost hivyo vituo viwili mpaka lini.? 😂😂😂.. et mnadai kuna BRT kwenu while you guys have only two bus stop
Mbona BRT ya Kenya inawasumbua akili? Are you afraid that we are going to have a better system than your lazy country?
 
Hata wakiweka vi figure vyao vya forbes cjui vya matakataka gn lkn hakuna kama Bakhressa, weee wacha kabisa na tuiue hii mada cz ni kukosa heshima kabisa mkuu.
 
Wafanyakazi wengi wa kwa Mo hususan wa daraja la chini hawawezi kulipa kodi kwa muda, yn wana maisha magumu kuliko Wakenya, hebu fikiria mtu anafanya kazi kuanzia saa 1 asubuhi mpk saa 12 jioni analipwa 6500[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ndio mpumbavu ungekuwa na busara ungeficha ujinga wako. Brt buses have doors on both sides of the bus. Njoo tz usafishe macho kidogo.
 
Utapost hivyo vituo viwili mpaka lini.? [emoji23][emoji23][emoji23].. et mnadai kuna BRT kwenu while you guys have only two bus stop
Wakenya ni janja janja nyingi kuna nchi Afrika wana njia za treni za kisasa km100 wanajipiga kifua sasa hiyo brt kenya sijui kama siyo vituo 4 ama 6 tu ,tena nauli itakuwa kubwa sana kiasi itakuwa ni mabasi kwa matajiri tu maana kwa mabasi yao ya kawaida machafu nauli ni ksh48 sawa sawa na tsh1000 tena kwa umbali usio zidi km8 hadi 10 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…