NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,308
- 19,667
Ukiona Mtanzania anongea hivi, jua hajawai toka kijijini alimozaliwa. Yani kila Mtanzania humu hujishabikia jinsi alivyotembea ila ukiskiza hoja zake utacheka tu maana ni za mtu asiye na experience beyond kijiji chake cha kuzaliwa. 🤣 🤣Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao [emoji1787][emoji1787]ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua[emoji56][emoji56]
Ni kweli wakenya wengi wakija Tanzania hawataki kurudi kwao lakini hata waganda nao same same 😂😂😂
largest by population 😂
Sawa tumepokea malalamiko yako tupo kwenye mchakato tutayafanyia kazi.ubaya wenu mnapenda kujidanganya sana, venye tu huwa mnapenda kuokota picha za kenya za kitambo is the same thing you are doing here. I promise you that Lagos is far much ahead of Dar.
Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.Hehehehe alafu bado wanataka kulinganisha the mighty Nairobi na a fishing village [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Maisha bora ya kutoa mazeru kafara, polisi kuzingua raia hadi raia anawapiga risasi kwa kuchoshwa, wapinzani kuwa roho juu juu wasiuliwe... Nk nk nk!??? Bado maisha bora? 😂 😂 😂 😂Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.
I have no time reading long comments.Kitu ambacho Wakenya mlituzidi ni kimoja tu, kujitangaza, na sisi tulikuwa hatujitangazi kwasababu ya kuwa uongozi wa kipuuzi miaka ya nyuma, ulikuwa umejiegesha kwenye kupiga tu so hawakutaka mambo ya humu yajulikane, but the mighty JPM alikataa huo upumbavu na ndiyo ukaona Tz ikafunika Kenya kwa kujulikana from 6 yrs ago up to date, alianzisha miradi mikubwa iliyovunja rekodi ya East and Central Africa na pia uthubutu wake wa kuwajibisha viongozi ukapelekea Watz kujitambua na kufahamu kwamba walikuwa wanapigwa, na pia jinsi Magu alivyo deal na rafiki wanafki kama Wakenya ikapelekea leo hii Watz kutokuwa na upendo wa kipuuzi wa nipige shavu hili nikugeuzie lingine, hapo ndipo Wakenya mkamchukia lkn Watz tukajua ku deal na rafiki washenzi kama Wakenya na hapo ndipo tukaanza kufatilia maisha ya jirani zetu ndipo tukagundua kuwa kumbe nchi zote za Afrika mashariki na kati hakuna nchi inayotukaribia kwa maisha bora na uzuri wa nchi.
Ni noma.Hapo ni bumper kwa bumper! I wish to see mvua ikinyesha panakuwaje!
KCB bank hq completed 1931
Maisha Bora inahusiana vipi na unachozungumzia?Maisha bora ya kutoa mazeru kafara, polisi kuzingua raia hadi raia anawapiga risasi kwa kuchoshwa, wapinzani kuwa roho juu juu wasiuliwe... Nk nk nk!??? Bado maisha bora? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee, hii sasa hatari kama prof naye anasema ataachia ngazi, maana hata Bashe majuzi alisema hivyo hivo.
MY TAKE
Inakaa kuna kitu hakijakaa sawa wizara ya Kilimo, wiki iliyopita Bashe alikuwa analalamika kuhusu tozo la dengu Shinyanga leo Waziri analalamika! Inakaa middle men wamerudi na mama kama anasita kutoa msimamo! Hii haileti picha nzuri kuacha wasimamizi wa wizara yako wakilalamika dhidi ya lobbying na influence ya middle men! Inakaa hii Wizara Waziri na Naibu Waziri hawatadumu!
Ndio maana Dar buildings are much modern than Nairobi buildings maana mengi ni ya kisasa asa hilo utafananisha na la CRDB?Cooperative bank HQ completed in 1981
View attachment 1917207
View attachment 1917209
View attachment 1917210
View attachment 1917213
Wakenya wenzio wamesoma though [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I have no time reading long comments.
Hili jengo huwa sipendi shape yake kumbe la enzi za mkoloni ndiyo maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cooperative bank HQ completed in 1981
View attachment 1917207
View attachment 1917209
View attachment 1917210
View attachment 1917213
Sasa weka picha ya Nairobi ya 2001[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukishaona nchi raia wake wanaikimbia huku wakizurura zurura kwenye nchi zingine kwa wingi ujue kuna tatizo mahali [emoji23][emoji23][emoji23]