Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakimbia ukweli mchungu? Safari ya saa 7 mnapanda hivi vipanya wakati Tanzania safari ya saa 3 tunapanda luxury [emoji28][emoji28][emoji28]
Kenya watu wana choices, unaweza panda shuttle ambayo ni haraka zaidi mzee na wala hawana bugdha kitu ni express..
Acha ushamba wako hapa
 
Hyo ni mpuuzi, alafu siku jamaa linazeeka vibaya sana..ona sasa yamemkuta, copy paste noma sana
 
Nilijua tu lazima utabadilisha wimbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1916355

View attachment 1916356
Huo ni ukweli wewe google ubungo buse kunavideo zaidi ya mabasi mia 600 yanatoka na mengine zaidi ya mia 600 yanaingia kwa siku hapo ni kituo kimoja tu acha vituo vingine na usafiri mwingine kama treni na meli
 
I know your blind and fool, so dont bother with any explanation...slum dweller
Naona umeanza kuandika kisengerenyuma, hapa hata ukijifanya tahira lazima niende na wewe hvo hvo ndio upate kuelewa
 
Hyo ni mpuuzi, alafu siku jamaa linazeeka vibaya sana..ona sasa yamemkuta, copy paste noma sana
Ujenzi umetofautiana changamoto za maeneo sehemu tambalale ni tofauti na zenye milima na mabonde
 


Jamaa wa madimbwi wamekuja mpaka na Lamborghini halafu Zenaco ikawainamisha na kuwagonga viwili! πŸ€·β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ™†β€β™‚οΈ
 

You have never been to any city in Nigeria. All big cities of East Africa are way much better than Lagos.

Lagos, where construction vehicles are transporting people from point A to B.

Ndio maana huwa sibishani na nyie, wengi wenu hamna exposure ya mambo. Mnaongea ongea tu hovyo.
 
Timu za kunyaland zitafikia level kama hii miaka 50 ijayo
 

Attachments

  • 10000000_4305753539516367_4597406248505163344_n.mp4
    17.4 MB
you sick you dont know anything about lagos
 
punguza madawa ya kulevya that way you will speak facts si utani
 
We kima sisi tunasafiri sana ndani ya nchi kuliko nchi zote africa kama kuna nchi zimetuzidi africa labda 1 au 2 na sidhani kama kuna nchi inatuzidi
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
okada! πŸ™†β€β™‚οΈ πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…