Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mjinga atajua hapo ishakula editing [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo hapo juu ni MV Uhuru?
Eti eehh, kwahiyo hii boti leo imekuwa meli [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210829-143119.jpg
Screenshot_20210829-143039.jpg
Screenshot_20210829-143232.jpg
 
Uko sahihi. Lakini ni wazi watu hawamuogopi mama ba serikali yake.

Sirro kambip mkuu wake wa kazi openly. Pia ukumbuke waziri wa afya aliagiza Askofu Gwajima kukamatwa, unakumbuka nini walijibu.

Hii nchi yetu wote na tunaipenda sana. Nafahamu wewe ni Mzalendo wa kweli na umejitoa sana kwa nchi hii ingawa wengi hawatambui hili.

Lazima tukubali, mama amepyaya sana. Anahujumiwa, anajibiwa openly.

Kuna angemjaribu Mgufuli kiasi hiki😂😂

Angalia sakata la kina Bashe. Waziri anasema hivi na mkuu wa mkoa anafanya hivi😂
Mama hana papara wala mihemko kama yule ibilisi wenu.Time ikifika utaona.

Kupwaya ni pale kama usalama umezorota na uchumi umeanguka kama hivyo viko sawa mengine yanabakia kuwa hisia zenu za kijinga tuu.

Maza anazidi kuwaonesha kwamba Magu hakuweka standard ya uongozi nchi hii ila alikuwa mkurupukaji na miyeyusho and she will never follow the old path.
 
Nitajie madaktari walio muuguza siku za mwisho kama utaweza kuambiwa wewe ukujui kitu kunavitu vimefunikwa sana
Vimefunikwa eeh ,si ndio nyie mlikuwa mnajilinda dizain ya Kim ,full jammers, helicopter, askari jeshi , usalama tena Kutoka kwao Burundi na Rwanda sasa ilikuaje vyote hivyo vikashindwa?

Nyie mijitu ni mijinga Sana unaweza zani mlikuwa mnakazwa nyuma na yule jamaa maana mnavyohemko na mume wenu ni shida .
 
Leo nimekuja Kipawa [emoji41].

View attachment 1914789
View attachment 1914790
View attachment 1914791

View attachment 1914792



Halafu Ukivuka barabara tu ndio yule Nyoka wa umeme atakua anateleza sambamba na Mwenzake size yake First class wa Kaskazini [emoji1787]


Tuta la SGR kipawa.

View attachment 1914798


View attachment 1914801


Welded MGR adjacent to the U/ C SGR line.

View attachment 1914803
View attachment 1914808
View attachment 1914809
Show us kipawa ward from above i want to show you something😂😂😂
 
Parameters: width, welded or jointed, power source, signalling, tonnage per axle etc
Have you realized that hakuna sense umemake in this your comment?
Leo nimekuja Kipawa [emoji41].

View attachment 1914789
View attachment 1914790
View attachment 1914791

View attachment 1914792



Halafu Ukivuka barabara tu ndio yule Nyoka wa umeme atakua anateleza sambamba na Mwenzake size yake First class wa Kaskazini [emoji1787]


Tuta la SGR kipawa.

View attachment 1914798


View attachment 1914801


Welded MGR adjacent to the U/ C SGR line.

View attachment 1914803
View attachment 1914808
View attachment 1914809
Ndege moja kwa airport nzima, kwa kweli this is truly a white elephant 😂😂😂
 
Back
Top Bottom