Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo umechagua zile zenye Wakenya alafu za Tz umechagua zile zenye wageni, iko wapi MeTL, iko wapi SSB, iko wapi Oil com, iko wapi GSM, iko wapi CRDB, wacha ujinga.
You will forever remain madman. The guy clearly stated most profitable companies. Hizo zenye umetaja profits zao combined can even match the profit of Coop Bank😂😂
 
Afya Center.

IMG_20210826_122046.jpg
 
You will forever remain madman. The guy clearly stated most profitable companies. Hizo zenye umetaja profits zao combined can even match the profit of Coop Bank
Most profitable kwa wapi, unajua inachoingiza MeTL wewe, unajua anachoingiza Bakhressa wewe, for your information mmiliki wa MeTL ndiye tajiri namba moja EA mbn hamjaweka kampuni yake hapo.
 
Kwahiyo umechagua zile zenye Wakenya alafu za Tz umechagua zile zenye wageni, iko wapi MeTL, iko wapi SSB, iko wapi Oil com, iko wapi GSM, iko wapi CRDB, wacha ujinga.
Nimechagua zenye zinamake most profit. Sasa unataka tuweke za Watanzania Na hazimake profit. 🤣🤣🤣 Zitamake aje profit kama zinaongozwa na vilaza.🤣🤣
 
hakuwa gaidi.. acheni ujinga.. huyo jamaa ni mtu poa tu.. mim naona kuna ishu ya dhuluma au kulipa kisasi kwa polisi.. ni mtu wa madini lbda tukio ni sababu ya hio biashara ya madini
Bunduki katoa wapi,alafu pia ata Kama hakuwa perfect terrorist alikuwa na skills za kutumia Bunduki,Alifunzwa wapi ulengaji shabaha kwa Bunduki???Huyo jamaa alafu alianza kucelebrate na kuona ameshinda Nini hiyo alishinda??Mtajua hamjui mkilenga hizi stori ,He was a terrorist!
 
Na ile Ak 47 alivyokua anacheza nayo, utasemaje..yani mpka nilishangaa baada ya kuona ile video ya pili leo..
Rai wa kawaida asiyekuwa na mafunzo ya ziada hawezi ji position vile aisee, lazima angelipanic aanze kutoka unyoya..
Alafu mwisho kaamua kujisalimisha ndio sasa policcm wakaanza kuonyesha umahiri wao wa kumpiga risasi nyingi hku..

Narudia tena, raia wa kawaida asiyekua na mafunzo ya ziada ya kijeshi hawezi geresha askari ishirini mpka magazine iishe aisee...

Siko hapa kupinga mzee
Wewe ujui tz ilikuwa nchi ya kijamaa watz wengi wanamafunzo ya hizo vitu
 
Kumbe bado unahangaika na kuweka weka bando mzee..
Nunua hata mobile wi-fi mzee unapokwenda mishe mishe zako uwe unatumiaView attachment 1909027
Tafuteni kazi mfanye, nipo long weekend yani tuko pamoja na ma jobless wote wa uswazi kusumbuana monday nirudiane na shughuli zangu
Hiyo mnatumia nyinyi wenye simu za 3g sisi 4g+ hatutaki makorokoro kwa room
 
Back
Top Bottom