Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You opened a comparison thread youreself and it's just one of many. You've filled this forum with comparison threads and even this very thread we on is a comparison thread opened by a Tanzanian. Kenyans here mostly just open a thread to discuss a certain project, not comparing it with Tanzanian projects, but people with 'little bro that grew a little taller' complex come spamming it with photos from similar projects from your country. Take the thread on Mombasa Gate bridge for instance, Mekatilili only opened it so that we can track the progress of the bridge, now 50% of the posts on that thread are from you posting photos of Salender Bridge and other bridges in Tanzania - so who is comparing? You really need to grow up for heavens sake - you're probably a man in his 40s or at youngest late 30s. Act your age.
 
Read and understand the post. Teargas said Thwake dam beats JNHP in water holding capacity. Saa zingine jifunze kuelewa vitu and stop having an emotional reaction to everything.
Acha uchawi, JNHPP ni ziwa wewe acha uchawi
JNHPP: 34,000,000,000 m3 (1.2×1012 cu ft)
Thwake 688 million cubic metres.

Muwege na akili
 
nasikia hapa kutoka ikulu live.. kuna uwezekano baadhi ya fedha za mradi wa bwawa la umeme kutumika kujenga uwanja wa mpira Dodoma
Alafu mtu anafananisha mtaro na ukuta wa Berlin, yn mradi mmoja mkataba unasema kama mtatulipa kwa wakati kuna percentage inakwenda kujenga kiwanja kikubwa zaidi East and Central Africa, just imagine.
 
Sasa c muondoke kwenye huu uzi kwani mmelazimishwa? Sisi wenyewe tunatosha humu ndani huwa tunachanana humu bila kupepesa macho, wewe fanya kubonyeza button ya unsubscribe then kausha, hujaitwa humu.
 
Alafu mtu anafananisha mtaro na ukuta wa Berlin, yn mradi mmoja mkataba unasema kama mtatulipa kwa wakati kuna percentage inakwenda kujenga kiwanja kikubwa zaidi East and Central Africa, just imagine.

kuna arena mbili pia zitajengwa Dar na Dodoma.. mim ninachowaza hapa ni mda watakaoanza.. maana siasa zimejaa sana.. unaweza kuta hata uchaguzi ujao unafika hata arena moja hawajenga
 
kuna arena mbili pia zitajengwa Dar na Dodoma.. mim ninachowaza hapa ni mda watakaoanza.. maana siasa zimejaa sana.. unaweza kuta hata uchaguzi ujao unafika hata arena moja hawajenga
Kwa hapa tulipofika tunatakiwa wananchi tuwe makini sana, siasa zimekuwa nyingi utendaji umeanza kulega lega tusipokuwa makini hizo pesa zinapigwa.
 
Nikiangalia hii picha huwa nacheka sana mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1901796
Na wachina walivyo na roho mbaya, wakiona watu hawalitumii kama walivyopanga wataishurtisha serikali ya kenya kucompensate loss. So tutegee wakenya kulazimishwa kutumia hii barabara na hivyo ndio vipengele vya mhimu sana kwa wawekezaji wa kichina
 
obvious matumizi hayata-break even ila usiwe na shaka GOK imesaini makubaliano as a Guarantor incase of missharp treasure italipa plus capacity charges and interest accumulated refer Lake Turkana Windpower project! 👇👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…