El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Chris Kirubi ni mwanasiasa?wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
ni mwarabu na wala si siri,ila kazaliwa LDC,watoto wake kawazalia LDC,wamesoma shule za LDC,yeye mwenyewe anaishi LDC,na sasa anazeeka LDC.mwarabu ameshikilia LDC ...lol
leta investment zake zinazofahamika nje ya kenya.Chris Kirubi ni mwanasiasa?
sifanyi io kazi.leta investment zake zinazofahamika nje ya kenya.
i need the names of their well known investments out of Kenya.sifanyi io kazi.
1. Vimal Shah
2. Naushad Merali
3. Chris Kirubi
those are the richest men in Kenya na hakuna mwanasiasa.
make good use of the internet to dig more info about them hata kama internet huko kwenu ni slow
wewe kweli haujakuwa......yaani hadi masuala ya cartoon network unaleta humu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
bakhresa grain milling in Madagascar.
Mimi sina shida na hioWewe hao AVIC wamesha ingia Dar es salaam. Tulia mtaona maajabu yao huku
make good use of the internet bruh! i've done my part.i need the names of their well known investments out of Kenya.
NB:I use to think all the richmen in kenya are native kenyans...why Indian names?.[emoji23] [emoji23]
mbona unatoa povu kama mwehu....wewe leta investments zinazofahamika nje ya kenya zinazomilikiwa na matajiri wenu.I want a list of top 20 richest Kenyans and Tanzanians tuone excuse ya kadoda. .....alikimbia kuongelea wanasiasa wetu juu wame invest.Tanzanian politicians pia are thieves only that hawana brains za kubuild empires. .... ....Dewji kumbe ameshikilia uchumi wa LDC yenu hivo...wah..!! if his businesses collapse then Tanzania is dead
I want a list of top 20 richest Kenyans and Tanzanians tuone excuse ya kadoda. .....alikimbia kuongelea wanasiasa wetu juu wame invest.Tanzanian politicians pia are thieves only that hawana brains za kubuild empires. .... ....Dewji kumbe ameshikilia uchumi wa LDC yenu hivo...wah..!! if his businesses collapse then Tanzania is dead
nahisi kiswahili changu ni kigumu sana,hukukielewa.[emoji23]make good use of the internet bruh! i've done my part.
umetoka kwa politicians, sasa uko kwa indian names.... aisee, unatafuta kiki kwa pikipiki
wakenya,mkiondoa wanasiasa majizi na mafisadi hapo kenya,tuleteeni tajiri mkenya mwenye vitagauchumi vinavyotambulika bila kificho nje ya kenya.
sisi tunaye bakhresa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
bakhresa grain milling in Madagascar.
Hizo vitu mimi nazionea huku lolKenya alishaingia zamani. Mikate na mandazi ya Kenya utengenezwa na Ngano ya azam Kenya, pia azam energy drink mnakunywa sana ili mpate nguvu za kiume msipigwe na wake zenu. Nasikia huko wanawake wanawapiga sana.View attachment 547595View attachment 547595
nyora ulaleSio Dewji tu. Kuna mwingine anamkalia anaitwa Rostam Aziz, Reginald Mengi,Yusuph Kanji, Ali Mfuriki. Huyu Ali Mfuriki pia ana Investments hapk Kenya, Karamaji, Mr White, Matambuu, Patel and many others. Tanzania niyatatu Kwa kuwa na Top billioners in Africa after Nigeria and South Africa