Jipe matumaini hvohvo😀😀😀😀😀haha... umekiche???
btw, if only that Azam guy could be Kenyan.... he could be miles away. or if only he could be just a lil bit aggressive and enter the Kenyan market..... who knows?
Zanzibar
Nenda malawi mozambique na zambia na burundi uulizie bakhresa ni nani watakupajibu😀😀😀Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
ldc king?Nenda malawi mozambique na zambia na burundi uulizie bakhresa ni nani watakupajibu😀😀😀
Kenya alishaingia zamani. Mikate na mandazi ya Kenya utengenezwa na Ngano ya azam Kenya, pia azam energy drink mnakunywa sana ili mpate nguvu za kiume msipigwe na wake zenu. Nasikia huko wanawake wanawapiga sana.haha... umekiche???
btw, if only that Azam guy could be Kenyan.... he could be miles away. or if only he could be just a lil bit aggressive and enter the Kenyan market..... who knows?
Leta source cause mnaongoza kwa hii kutoka BBC Ili hiyo source tuipitie vizuri. BBC Ahsantekumbuka wanajenga headquarters yao ya Africa ndani ya Nairobi with a bang! that should tell you something
Yupo Mo Dewji na Rostam Aziz wanautajiri mara mbili ya Bakhresa nahakuna mkenya anae wafikia by forbesSaid Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha jisort msee...wizkid ako hapa kila weekend kuparty b-club
sent from iPhone 7
hii azam tunapigiwa nayo kelele haiskiki hata Kenya. ....mwarabu aitwaye azam atawale tu nayo hapo LDC .....Azam atazama tu
Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
kitendo cha kumtaja taja namna hii,inaonyesha ni kiasi gani mpo obsessed naye...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]akiingia Kenya atapigwa vita ile hakuna. hapo ndio ma-slogans zitaamshwa... utakua unaskia [HASHTAG]#BuyKenyaJengaKenya[/HASHTAG]
wacha aeendelee ku hawk azam juice kwa streets.
yaani hawa majamaa ni wapuuzi yaani hivyo vipeace vya barabara za juu si nikama foot bridge yaani huwa wanatengeneza ili mradi tu wajifariji na kuziita intercharg ama fly over......yaani wanapigwa sana pesa na government yao ni vipisi juu ya vipisi na kuchimba [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sioni Barbara yoyote mpya hapo. Zaidi ya majengo mazee
Huyu anaitwa Mo Dewji ni youngest richest person in Africa alafu ni Richest person in East Africa anafaata Rostam Aziz baadae anafaata Bakhresa mwenye almost utajiri sawa na Reginald the owner of East Africa TV . Richest in East Africa from Tanzania.Mo Dewiji. Tukionyesha viwanda vyake mtakimbia humu. Anafungua viwanda vya electronics kama TV, Radio, Freezers and many others.Said Salim Bakhresa....mwarabu ameshikilia uchumi wa LDC sawasawa. .......Lol.
Nine wambia huyo mtoto Mo Dewji anautajiri mara mbili ya Bakhresa na ndo the richest in East Africa anafuata Rostam Aziz ambae nae hakuna Mkenya anae mfikia. Bakhresa ni third position.kitendo cha kumtaja taja namna hii,inaonyesha ni kiasi gani mpo obsessed naye...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bakhresa na Dewji ni watanzania mwenye asili ya kirabu. Sio waarabu. Mmoja kazaliwa Zanzibar mwingine kazaliwa Singida.Kumbe Dewji ni mwarabu
Avic International to build Africa HQ in Nairobi - Capital BusinessLeta source cause mnaongoza kwa hii kutoka BBC Ili hiyo source tuipitie vizuri. BBC AhsanteView attachment 547596 View attachment 547596