Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We all know which country is poor between Kenya and Tanzania , you are using a lot of donated money to build one dam while Kenya is using the same amount of money to build three important projects in different parts of the country.
Au weka miradi kumi ya Kunyaland yenye thamani zaidi alafu mm niweke kumi from Tz ili uone jinsi gani hii thread haina maana yoyote zaidi ya kufarijiana tu
 
Hebu weka picha
Kenya is not your mate you fool👇👇

10198107_tapatalk1568101138486_jpeg_jpeg3dc64ed1ea3fc9858cf2109ea9018615.jpeg
 
Au weka miradi kumi ya Kunyaland yenye thamani zaidi alafu mm niweke kumi from Tz ili uone jinsi gani hii thread haina maana yoyote zaidi ya kufarijiana tu
Hakuna haha niweke kumi, lapsset alone is enough to make you cry😂🤣

LAPSSET =$25B.
 
Hakuna haha niweke kumi, lapsset alone is enough to make you cry

LAPSSET =$25B.
Umeamua kuleta mzaha kwenye vitu serious, kudadadeki fanya kama unajikuna uone, unaweka ndoto na cc tukisema tuweke zetu ambazo bado hazijakamilika kama ule wa liquified gas wa $30B ambao mda si mrefu utaanza si mtalia
 
LAPSSET is an ongoing project while hiyo yenu ya gas bado ni ndoto, hujui hata kama utakufa before ujenzi uanze🤣🤣😂
 
Tanzanian will forever remain an idiot, who cheated you that the biggest dam in East Africa is JNHP? Hiyo dam yenu hata thwake dam imeishinda in terms of water holding capacity.

Beloew is thwake dam under construction.

View attachment 1897957

View attachment 1897958

View attachment 1897960

View attachment 1897961

View attachment 1897962

View attachment 1897963

View attachment 1897964

View attachment 1897965

View attachment 1897966

View attachment 1897968

The primary role of that dam is irrigation and not electricity production. Mbona unapenda kuforce mambo?

Another dam under construction is thiba. Main purpose is irrigation just like thwake.

View attachment 1897996

View attachment 1897997

View attachment 1897998

View attachment 1897999

View attachment 1898000

View attachment 1898001
Hivi unajua maana ya bwawa we mpumbavu.? Yani unilinganishie JNHPP kwa hiv vi mifereji.? 😂😂😂 Hiv unajua kwanza Tanzania tuna mabwawa mangapi.? Maandazi wewe.? Et ten years ago mko na mabwawa makubwa 😂😂😂,
 
Keshaanza wivu, nimeku save tayari c unanijua
Mkiambiwa ukweli mnasema ni wivu😂😂😂, construction ya hiyo project ikianza unitag just the same way nilikuambia ujenzi wa EACOP pia ikianza unitag😂😂🤣
 
Mnajenga vitu tulijenga ten years ago. Hiyo Ni picha ya kitambo hata before rule ya kupaka flyovers rangi ianze. See the current state

View attachment 1898656
Ya zamani eeehhhh

Picha za ukweli hamzipendi kabisa, sasa mwenzako alipost hiyo picha akidhani atawatisha watu wewe leo unaikataa, unadhani mwenzio atajisikiaje, hilo apo nimekuwekea likiwa kwenye mwanga na sio gizani kama ulivyoliweka
JamiiForums-2126642214.jpg
JamiiForums696430703.jpg
JamiiForums-1680334293.jpg
 
Hivi unajua maana ya bwawa we mpumbavu.? Yani unilinganishie JNHPP kwa hiv vi mifereji.? 😂😂😂 Hiv unajua kwanza Tanzania tuna mabwawa mangapi.? Maandazi wewe.? Et ten years ago mko na mabwawa makubwa 😂😂😂,
Wewe hujui maana ya dam nyamaza.
 
Mm nina akili nyingi sana, nimekuchota umejaa, haya niambie kama ni on going project hiyo $25B umeitoa wapi
Ona venye uko na akili za kijinga🤣🤣, hiyo $25B ni total cost of LAPSSET. Another question?🤣🤣😂😂
 
Back
Top Bottom