Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The English is Hilarious 🤣 🥴🤪😂

235237C0-42E2-435B-B7D6-8E41C93D35A7.png


0A298F47-CCF8-478A-8324-E63B98D6E84B.png
 
Hizi ni levels Kunyaland haiwezi kufikia milele!
Bongolala si lazma tufanane...sisi tuna geothermal na tumejitosheleza kwenye umeme hatuhitaji HEP..sisi tumeweka more effort kwenye irrigation na mahitaji mengine ya maji. sasa hivi dams zaidi ya 6 zipo under construction kenya mostly for irrigation mfano thwake dam itakayogharimu approximately $800m na itachangia ardhi 40 000 acres kuwekwa kwenye irrigation pamoja na na wananchi 1.3m kupata maji..sisi tunajenga miradi yenye impact si miradi tembo
 
Ladies and gentlemen this is how a city without real estate looks like👇👇
View attachment 1896527View attachment 1896528
Najiulizanga maswali Sana🙈Yani Mazezeta wanavyodai Tanzania imepita Kenya kwa Maendeleo Mbona haionekani🤔Ata Picha za aerial za TZ zinaonesha Ushuzi kila mahali.Wanadai pia eti wametupita kipesa🤣Mbona mpaka World bank na kila mahali wanasema TZ is poor country,kitu nimekuja kujua Tanzania are lazy they have every natural resources they need but haiwasaidii,Imagine ingekuwa Tanzania ingekuwa dry Kama Kenya how would they survive?????Mazezeta tu⚰️🚮🚮
 
Back
Top Bottom