Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imagine a city of 6m zombies with only one interchange, donated by japanese govt[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1895975
Alafu unajiona umeandika [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpka mshipa wa **ko umesimama....kweli kuna wajinga ila ww ni kichaa....
Kwani kama kitu hujui kuliza unaona shida gn?
 
Hizi ahadi za uchaguzi zinashider hata mahali hapahitaji flyover mnabandikiwa kadude mkaambiwa ni interchange.
Tangu ugundue huu uzi umekua engineer ghafla😂😂😂😂 haya kujengwe nini hapa kando na interchange👇👇
 
Changamwe interchange
Makupa bridge
Mwache & mteza bridge
Mariakani- mombasa highway
Dongo kundu phase 2
Dongo kundu sez
Port expansion

Some projects in mombasa that will cement is dominace in east coast.
 
Changamwe interchange
Makupa bridge
Mwache & mteza bridge
Mariakani- mombasa highway
Dongo kundu phase 2
Dongo kundu sez
Port expansion

Some projects in mombasa that will cement is dominace in east coast.
Umesahau na Mombasa Malindi highway, Mombasa Gate bridge,na Mombasa Northern bypass
 
Upumbavu wa Chadema na wao ni walewale, laiti wangekuwa na mrengo wa antivaxx wangetupata wengi!
Saanaa yn wangetupata wazalendo wengi mnoo, na hii nchi ilivyotulia yn maendeleo yangekuja kwa kasi ya umeme cz chama kinachoongoza serikali kingekuwa makini sana mana kinajua kikizingua pigwa chini lkn ss ndo hivyo tena.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I love seeing different infrastructure meeting [emoji7][emoji7]View attachment 1895986View attachment 1896026
Tatizo nyie mbwa huwa hamna ustaarabu no wonder mnakunya kunya hovyo kwenye mifuko kama jina la nchi yenu lilivyo, mmebaki kupost picha za uzinduzi lkn halisi za current hamzitaki, mnajengewa mamiradi low quality kwa gharama ya high quality infrastructures, haya picha yako hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…