Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
evidence?
Aisee nilibaatika kufika kwenye huo Mradi uko poa Sana!
Namuona jamaa na issue zake binafsi na Tanzania sio bure!Kuna mtu anadai sio maendeleo hayo
Namuona jamaa na issue zake binafsi na Tanzania sio bure!
Huyu Nina mashaka na uraia wake! Unajua serikali sometimes wanazingua Ila huwez ukamchukia mama mzazi wako sababu ya ndugu zako!Yule jamaa anapinga kila kituu haeleweki
Watasema ni mwarabuWakenya washamba sana, hujui kitu kaa kimya:
Cheki moja ya makanisa yetu: St. Joseph Church Posta, Dar es Salaam
View attachment 1894310
Ni mroma, iwe Catholic ama Anglican, asili yao ni Roma, nyambaff, kwani unadhania hatujui kutofautisha architecture? ya mwarabu pia tunaijua, ikulu ni shrine ya mwarabu, aka msikiti, haibadiliki kubalini yaishe.Wat
Watasema ni mwarabu
Huwa nashangaa sana mkuu.Mwendazake ndio nani?
Reli ya umeme na trains za nguvu, bwawa la Nyerere, machinjio ya kisasa, mahakama mpya, mahospitali, viwanja vya ndege, Meli kubwa maziwani unavyotamba navyo kwa kufungua threads isingekuwa hivyo kama sio Magufuli.
Mbona hivyo havikuwepo kipindi cha Kikwete, zaidi ya ufisadi wa safari na kucheka cheka?
Tanzania ingekuwa kwenye lockdown kama nchi zingine kama sio Magufuli unaemuita "Mwendazake".
Have some respect, brother.
If you can't respect him as a former head of state who served his country with distinction, it's fine, but at least have some decency and try to respect yourself by respecting those who love him.
Leo anashauri serikali ikope pesa nyingi ijenge miundombinu ikiwemo barabara, kipindi cha nyuma alikuwa anasema serikali ya kijinga inajenga mabarabara wkt hali mtaani ngumu, watu wanakula hiyo midaraja, midege na mibarabara? Leo anakula matapishi yake mwenyewe mbwa huyu.Yule jamaa anapinga kila kituu haeleweki
mbona unakuwa mbishi kwahiyo unabishana na IMF na WB wanaosema their economy is not sound and inflation spirals to uncontrollable levels!Yule jamaa anapinga kila kituu haeleweki
Unasema Chanjo HiariAta akikamatwa ...mlio chomwa izo chanjo mnatosha ...tusilazimishane....
Ndio maana Id Nyingi humu Zimeacha kuchangiaAnapinga kila kitu mpk uchumi wa kati anakwambia ni JK ndio katufikisha hapo, yani JK ameachia nchi 2015 uchumi wa kati tumeingia 2020 mtu anakwambia aliyetufikisha hapa ni yule wa 2015 Yani kashindwa kutupeleka uchumi wa kati kipindi anaongoza yeye kaja kutuingiza uchumi wa kati huku akiwa sio Rais [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati mwingine huwa tunajisumbua sana kujibu baadhi ya watu mpk tunaharibu utamu wa battle matokeo yake tunawapa pumzi wakunya ambao washajifia tayari wanasubiri sababu ya kifo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msikiti was malindi mmegeuza kuwa air port ,kweli mmechokaNaona na nyie Wakunya mnajenga Misikiti
Mkunya mpumbavu wewe sijui kama umeosha kinyeo chako leo!
Kuna mpumbavu mmoja anajaribu kuharibu huu uzi, akija yeye tu lazima anye humu sisi anatupa kazi ya kuzoa.Naona Jukwaa la Siasa limehamia huku.
Huwa nashangaa sana mkuu.
Wanataka tujenge ikulu ya udongo na makuti. Wakijenga yakwao hawachelewi kuweka mabati maana ndio wanayoyatumia kwenye kuta zao na kufunika magari ya mizigo kwa mabati yaonekane ya kubeba abiria, eti matatu 😀 .Halafu style ya mabati wameiga kwa wahindiWat
Watasema ni mwarabu