Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Update: Ikulu Chamwino
Kuna watu wanangojea mikopo ili kutekeleza miradi yao , in the next 5 to 10 years dodoma itakua inakimbizana na mombasa
MY TAKE
Kuna mafalamanga hujaribu kujilinganisha na Tanzania, yaani na fedha Tshs 300 bln taslim (si mkopo) za Mji wa serikali na wizara 23 imetolewa! I don't know what u mafalamanga smoke!
am seeing nothing but sheer affluence..Weka aerial view ya where BRT passes.., do a comparison analysis of the surroundings in the outskirts...,
ya Thika superhighway hii hapa 👇 ..,
Hivi Zanzibar kuna football league? Unajua huwa nashindwa kuelewa kwanini hawashiriki Premium league? Ingekuwa bora kukuza mpira visiwani! Uchaguzi wa TFF juzi kuna yule mlemavu alienda mahakamani ati anataka haki ya kushiriki as if alizuiwa!kumbe zanzibar nayo inashiriki kwenye CAFCC na CAFCL..
KMKM - CL
MAFUNZO - CC
You'll never see such in Tanzania, Ever!Weka aerial view ya where BRT passes.., do a comparison analysis of the surroundings in the outskirts...,
ya Thika superhighway hii hapa [emoji116] ..,
but nbi is just but a replica of jozi, cape town and so on...You'll never see such in Tanzania, Ever!
Daah, mzee nimeisave hii, One day if God wishes, I'll tell you.
MY TAKE
Naunga mkono hoja! Haya masalia ya JPM inabidi yaondoke huyu Gwajima na Polepole ni majipu!
CC: Venus Star
Kweli kaka. pamoja na mapungufu yake, uzalendo na mapenzi yake kwa nchi yake hayapimiki na yalidhibitishw na kiu aliyokuwa nayo ya kuiletea tanzania uhuru wa kweli ( economic revolution)Hayati Magufuli alikua simba wa africa [emoji1241][emoji1241]
ok wait let's wait and see if nichangaa nimekunywa😀 Ndoto baada ya kulewa chang'aa