Bado lipo imara licha ya kingo za mto kuvunjika[emoji1787][emoji1787]Madaraja mliozoea kuyaona ni haya [emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1885775
Heb lata picha ya daraja hata moja la KE ambalo tunaweza liweka viwango sawa na Madaraja ya bongoBado lipo imara licha ya kingo za mto kuvunjika[emoji1787][emoji1787]
Babako alijuja kutoa ushamaba wa bridge kenya, hata nyerere pia
It all depends on how you define the term highway, keep in mind not all countries use the word expressway. Some countries use freeway (instead of expressway) to mean roads without intersection, including highways.Watu sai wanaongelea expressways nyinyi ndio mnajenga highway sai
Ona zuka lingine nalo limekuja kujitia ali kujua, kwni uliulizwa..It all depends on how you define the term highway, keep in mind not all countries use the word expressway. Some countries use freeway (instead of expressway) to mean roads without intersection, including highways.
Eti viwango[emoji1787][emoji1787]Heb lata picha ya daraja hata moja la KE ambalo tunaweza liweka viwango sawa na Madaraja ya bongo
πππ, Acha maneno mengi leta picha ya daraja kijana ..au hakuna.?Eti viwango[emoji1787][emoji1787]
Usinichekeshe, kupiga kazi 40yrs sio kiwango sio..
Nyie kubalini tu km mumezinduka karne hii wavivu wa dunia
No usininukuu vibaya, sijasema duniani kite hakuna lahasha.!! hapa comparison ni sisi na nyinyi..ππYani imagine mtu anazaliwa mpka anakua mtu mzima lkn hajui bridge wala flyovers km zinakaaje..sasa mumeanza kuvipata juzi basi imekua duniani kote hakuna km nyinyi
Watz bana Sama boy 255
Make google your friend[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], Acha maneno mengi leta picha ya daraja kijana ..au hakuna.?
Hakuna comparison na mtu ambae amezinduka sai[emoji1787]No usininukuu vibaya, sijasema duniani kite hakuna lahasha.!! hapa comparison ni sisi na nyinyi..[emoji23][emoji23]
πππ, Owky leta bas hata picha za Madaraja matano tu, najua kwenu hakuna madaraja mazuri Ila leta ivyo ivyo ntakufikiria πMake google your friend[emoji1787][emoji1787]
Jamaa unashindwa utatokea wapi maskini, yani mtu mzima umeanza kuona daraja juzi[emoji1787][emoji1787]
Madaraja mazuri[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], Owky leta bas hata picha za Madaraja matano tu, najua kwenu hakuna madaraja mazuri Ila leta ivyo ivyo ntakufikiria [emoji23]
Hakuna comparison na mtu ambae amezinduka sai[emoji1787]
Unashtuka na madaraja karne hii, kweli mbumbu ni mbumbu
πππ, Woooiii, sasa hamuoni aibu mnakua wa kwanza kuwa na Madaraja alafu sie tumeanza juzi tu tumewapita hovyo hovyo, kuanzia wingi wa Madaraja mpaka quality , kama China na Japan tu au sio.? ππMadaraja mazuri[emoji1787][emoji1787]
Niletee daraja la bongo ambalo limemaliza miaka 20 na bado lipo imara
Mumetupita madaraja au nyie ndio mlizembea licha ya kua na mito mingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23], Woooiii, sasa hamuoni aibu mnakua wa kwanza kuwa na Madaraja alafu sie tumeanza juzi tu tumewapita hovyo hovyo, kuanzia wingi wa Madaraja mpaka quality , kama China na Japan tu au sio.? [emoji23][emoji23]
Acha upumbavu Kenya nayo Ina mito, maziwa na bahari, tumewapita kwasababu hamtuwezi kwenye hiyo sekta ππ kwani ukikubali ukweli utakufa.?Mumetupita madaraja au nyie ndio mlizembea licha ya kua na mito mingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekosa daraja la 20yrs[emoji1787][emoji1787]
Kisha unataja quality kw mtu amabae tayari yake yana takribani miaka arobaini[emoji16][emoji16]nimekucheka kw dharau
That is because we focusing on other things things like wind power it will take years before muanze and our technology you cant really compare so nyinyi kujenga sijui a one km bridge exite's you shows we are far apart and have diffrent prioritiesπππ, Woooiii, sasa hamuoni aibu mnakua wa kwanza kuwa na Madaraja alafu sie tumeanza juzi tu tumewapita hovyo hovyo, kuanzia wingi wa Madaraja mpaka quality , kama China na Japan tu au sio.? ππ