Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi unataka battle ya stadiums tuirudie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hakuna battle tinarudia hapa, the last time we did the battle all you did was to show us grazing fields😂😂🤣🤣. Nobody wants to see spectators seating on grass😂🤣🤣
 
Nchi ya mradi mmoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mradi wenyewe wanajengewa na nchi nyingine na hiyo nchi ndo watamiliki huo mradi kwa miaka kadhaa huku wakichajiwa kupita kwenye hiyo barabara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dar na floods za kutisha ni kama 5&6
images (12).jpeg
images (22).jpeg
images (20).jpeg
images (19).jpeg
 
Hapa ndio Kibera kwenye mitaa ya kawaida au unajifurahisha mind yako baada ya kushiba githeri na kachumbari?
wewe unatamani sana fikra zako zibadilike zikue ukweli ili kibera iwe mtaa wa kawaida lakini utapata taabu sana😂😂😂, hiyo inaitwa extreme slum., Sasa ina maana hapa👇👇👇 ni mbuzi na watanzania kama wewe wanaishi hapa Nairobi sio? ama unasemaje dogo?😂😂😂😂 Kenya sio size yenyu licha ya challenges zetu.., tofauti ni kubwa sana.., not only GDP pia kwa ground..,
1628165151989.png

1628165240693.png

1628165257231.jpeg
 
tofauti kati ya mtaa wa Dar wa kawaida vs mtaa wa Nairobi.., ushamba vs city life[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1880939
Mtaa flani Nairobi..,
View attachment 1880941
yaani nikija kenya hata nikivaa matambala nitaonekana mnyama ,,
nafunika all kenyan artists pampoja na raia wake


yaani hiki kikundi kikija bongo hovyo hovyo tunawapiga mawe nakuwaita vibaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hart_the_band_big_53027.jpg
 
Yaani Easleigh inashindana na Dar CBD fair and square.., na ni makazi na shopping centres., hii itakua Busdiness district hivi karibuni kama akina westy na upperHill.., kwa mzumguko wa pesa Kijitonyama ama ilala haitoshi mboga..,

Easleigh baba lao 💪 💪 🔥 🔥 🔥
View attachment 1880956
View attachment 1880957
Dar hakuna kitu, mombasa enyewe imeizidii hio fishing village😂😂😂
 
Mtu anakaa huku alafu anaongelea eastleigh😂😂😂😂 nyumba za makuti karni hii😁😁😊
images (7).jpeg
dar_bus_stop_peddling.jpg
 
Back
Top Bottom