Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iliyoenda China ipo poa tu na baada ya safari ya kwanza iliendelea kupiga freight flights . Remember wanaoingia China kwa sasa ni Chinese nationals peke yao na Diplomats, so hamna abiria wa kutosha IMO, ila Cargo nina uhakiaka inakamua.
 
vitu vimelipwa nn!

Naona ni Kitu ROBONDO ISLAND.
 
kila kitu Kunyaland hujengwa kwa mikopo taja jina la Bwawa na wapi lipo, nikupe evidence mkopo ulitoka wapi!
Naona swali limekushinda sio..nayasubiria hayo mabwawa ambayo yapo on service na ni ya mikopo
 
Naona swali limekushinda sio..nayasubiria hayo mabwawa ambayo yapo on service na ni ya mikopo
As niko sure na ninachoongea taja jina la Bwawa na location hapo Kunyaland nikutajie mlichukua mkopo wapi! Kwa vile niko suree 100% all ur dams were financed through credits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…