Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Warembo ya kenya inapenda Sana wanaume ya Tanzania 🇹🇿,au namna ghani hii maneno jirani😆😉

Mambo haya yanawafanya wakenya wanune
187403520_139459464843736_7233854586924493019_n.jpg
187381679_514592583248460_7533568608228629915_n.jpg
187697946_1519539461572886_9213071297358926188_n.jpg
 
Wakenya oneni mturuki anavyozidi kuwachoresha na upgraded MGR yenu, yn mm nakwambia mchina hawezi kukubali unyanyasaji alioufanya mturuki kwa upgraded MGR ya Kenya so lazima naye atataka kumuonesha kitu mturuki pale Isaka-Mwanza, onaa tunnels zetu zitakazopitisha train za umeme jinsi zinakaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1865189View attachment 1865190

Legacy itadumu daima dawamu.
 
Bravo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dar vs Parklands, hapa [emoji116][emoji116] where kuna spaces kule nyuma ni ushuzi mtupu.., linganisha., buildings chache.., Parklands ni better than even CBD ya Dar on average.., Tazama hii area[emoji116][emoji116]
View attachment 1865512

Linganisha na Parklands..,
View attachment 1865514
Sasa parkland apo siimepigwa tatu bila...huoni hata aibu kulinganisha upanga skyline na parkland bro
 
Back
Top Bottom