Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanamiji mibovu sana, angalieni mpangilioView attachment 1864127View attachment 1864125

Westlands is far better than main Dar CBD., angalia mji wa kishamba, umechoka kama tu Mwanza., ni gorofa tatu na BRT na pengine SGR ya umeme ndio zinaipaka mafuta kwa uso ili isionekane imeparara sana..,
Seriously what is this????


Afadhali estates za Eastlands , zina pendeza kuliko hii 👆 👆 CBD

 
Tutatesama mara ngapi nyumba kama hizo hazikodishwi. Alafu hizo nyumba zilivyo achana inmaanisha huko si uswahilini mnakoishi nyote.
Sehemu kubwa Dar ndio kumejengwa ivyo...taratibu mtaelewa Japo mnavichwa vigumu
 
Sehemu kubwa Dar ndio kumejengwa ivyo...taratibu mtaelewa Japo mnavichwa vigumu
Pia wewe haupendi ukweli?.., na tukiwaonyesha sehemu kubwa ya Nairobi ilivyo jengwa kwa mpangilio mnalia lia na kibera kasehemu kadogo ukilinganisha na kwingineko.., kama Eastlands..,
 
Uzi ni Dar vs Nairobi, comparison analysis makosa yangu iko wapi? have done justice to this thread..,
Wewe hujielewi...building moja ya hapo posta inaweza kua na thaman ya eastland estate yote
 
Now I know why Tanzania only have 9,000km of paved roads, yani residential areas za tz zote zina barabara za matope na mchanga. Hakuna lami hata moja in that your pic.
Tuachane na takwimu zako zakipuuzi kwanza..makazi hayo ni bora kuliko flats zenu
 
Atakuonesha project ya mchina expressway 😂 pesa za mchina ,itamilikiwa na mchina miaka 30 na ushuru wote atachukua mchina kwa miak 30
PPP za Tz ni nzuri. Ila ikija Kwenye upande wa KE is where you guys draw the line. Apo ndo wivu inaamka inaingia hadi kwa koo la kila mtz. Mtaumia sana na kuteseka bure
 
Hivi hii dar iko na avenues kweli maana sielewi kabisa. Kenya tuna uhuru highway, haile selassie, waiyaki
 
Mnajenga ovyo ovyo kwa cbd ndo manake hakuna avenue inayopasua kati kati ya mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…