Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hapa website yao official nioneshe huo ushuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ndio hii hapaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

2738104_JamiiForums-1885051160.jpg
 
Nchi ya kwanza EA kuwa na cable stayed bridge

Nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system

Nchi ya kwanza EA kuwa na electrified SGR

Nchi ya kwanza EA kuwa na 3tier interchange

Nchi ya kwanza EA kuwa na bwawa kubwa na la kisasa la umeme

Nchi ya kwanza EA kuwa na modern stadium

Nchi ya kwanza EA kuwa na modern Airpot

Inaumaa
Usisahau pia ndo nchi maskini dunianiπŸ’©πŸ’©πŸ’©
IMG_20210722_225934_082.jpg
 
Ndio hii hapaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 1863914
Na hii ndio official website yao na hii ndio list sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Tanzania iwe LDC alaf media ya kenya isitangaze 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kwani media za Kenya ndio zilishusha Tanzania back to LDC?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡


2738104_JamiiForums-1885051160.jpg
 
SGR yao haiko fenced kila siku inaua wanyama, jamaa hawana akili kabisaView attachment 1863839View attachment 1863840View attachment 1863841



Afadhali ya Kenya ina elevations na bridges kibao kuhakikisha mambo ya kugonga ng'ombe haipo. Pia imewekwa fence kuzuia wanyama pori kuingia pasipokuwa na njia. Ya Tanzania haina grade elevations kama ya Kenya. Ngoja uone ng'ombe zikianza kugongwa na kufanya derailment kila siku. Cheap is expensive in the long run
 
Morogoro road, ukitoka cbd
images (30).jpeg
images (31).jpeg
images (32).jpeg
unapelekwa moja kwa moja kijitonyama cbd ambapo utakutana na morroco square, huu mji banaπŸ’©πŸ’©πŸ’©
2835844_images1.jpg
 
Na hii ndio official website yao na hii ndio list sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

List ndio hii hapa. Leo sikuachi, umeona kama world bank haikusaidii umerudi kwa UN, happy UN pia bado ntakufinya tuπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


2738104_JamiiForums-1885051160.jpg
 
Tuwapigie simu waitoe watakua wamesahau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡





Hakuna haja tupige simu na mshatolewa tayariπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Kwani media za Kenya ndio zilishusha Tanzania back to LDC?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡


View attachment 1863917
Ngoja nawapigia simu waitoe watakua wamesahau πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hakuna haja tupige simu na mshatolewa tayariπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


Nawapigia simu waitoe watakua wamesahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



3C2DADC0-25D4-49BC-9C49-9A30AFCFFDBC.jpeg
 
Back
Top Bottom