Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam the leading EA City.
Colosseum-Hotel-Fitness-Club.jpg

Dare-es-salaam+tanzania+at+Night+2.jpg
523426_15072819420033211212.jpg
523426_15072819420033211212.jpg
getlstd-property-photo-1.jpg
 
Anyways yote Tisa ..kumi ..ningekua Mkenya ..Hapa ningepigana hata na rais ...
f3c94e849211351d866fb7a2bcbfd2fb.jpg


7fdabd270b7693f79ffc86d35fc41182.jpg
 
With all road projects Tanzania tufanya ..za kuunganisha mkoa mpka mkoa..na Tz ilivyokuwa kubwa kuliko Kenya .ug rwanda na burundi combined ....tungeamua kuwa wa Binafsi na kuweka Flyovers kwenye cities ..c tungekuwa na flyover elfu naa...Tatizo Wa kenya ni wanafanya maendeleo Nairobi tu ..kwingine maendeleo ni kidogo sana


your second city is known nowhere beyond Tanzania
 
Wa kenya ni wanafanya maendeleo Nairobi tu ..kwingine maendeleo ni kidogo sana
danganya toto. huo ulikuwa wakati wa Moi wa Centralized Gov't. saa hii tuna katiba mpya na mfumo ni wa County Gov't. kila kona ya nchi inajengwa
 
Sijaona flyover hapo zaidi ya interchange. Hizi ndo flyovers ambazo zinajengwa Dar sio interchange. Pia kuna project nyingine yenye interchange kama zenu 6 na road toll mbili. Nimekuwekea mchoro mwisho. 8 to 6 lanesView attachment 546002 View attachment 546003 View attachment 546004 View attachment 546005 View attachment 546009 View attachment 546006 View attachment 546011
yaani hawatogusa maana hizo fly over zao za ajabu yaani vitu siyo fly over wanaita fly over asa sisi tuna wadouble
 
Ni UJINGA NAIROBI KUIFANANISHA NA DAR ES SALAAM... MM NI MTANZANIA HALISI... LKN UKWELI HATUWAZIDI CHOCHOTE NAIROBI.. KUANZIA MIUNDOMBINU, HUDUMA ZA AFYA, NYUMBA BORA ZA MAKAZI, MPANGILIO WA NYUMBA, VIONGOZI BORA NA WASOMI N.K...

KUZALIWA TANZANIA NI LAANA..

Sent using Jamii Forums mobile app
powa endelea kulaaniwa au nenda ukaishi kenya.....

sijui unafanya nini hapa tanzania hadi mda huu
 
Back
Top Bottom