Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
850f35c30f9e3cde554050cd434f0e1e.jpg
 
congratulations to the doctor. But Tanzanian doctors waliogopa kufanya entry exam ya kuajiriwa Kenya. ..Lol
 
congratulations to the doctor. But Tanzanian doctors waliogopa kufanya entry exam ya kuajiriwa Kenya. ..Lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mliwanyima nafasi mkaandamana 😀😀😀
Pia security wise hamupo vzr ikiwa mumeshindwa ku handle kipindupindu tu
 
wakenya wanapenda kuishi maisha fake,maisha ya kuigiza,maisha ya uongo wakati hali halisi siyo hivyo kama wanavyo jinasibu kwenye mitandao hasa hapa JF.

wazungu wanaoendesha NGO kwenye slums,hawataki unafiki.kwenye account zao za Instagram, wanaweka picha zinazoonyesha maisha halisi ya wakenya.

kwangu huu ni mwanzo tu,kesho inshallah nikipata mda, nitapitia tena instagram,kutafuta picha latest zinaonyesha muonekano wa slums na maisha halisi ya watu masikini wa nairobi.

wao pia kama wanaweza kupata picha za namna hiyo kwa dar es salaam,wawe huru kuzileta hapa.
kweli kabisa ..
....wawe huru ili wajue tofauti
 
Lol! Sonko anataka kuuwa mtu kisa unga. Kenya njaa ni janga
while you are bragging for eating hamburgers and pizza,some of your fellows were shot for demanding more than two packets of unga..SMH.
njaa kitu mbaya sana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
dead6e9fa24416c5b9ec2f0b82546ff4.jpg
 
Back
Top Bottom