Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One shot chaliii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa jamaa comedian kweli ukikutana nae mjini amevaa suti utafikiri ni mtu wa maana sana sasa ngoja jioni uone anapoelekea kupumzika kiberaaaa. Hivyo hivyo hufanya kwenye data zao katika ngazi zote.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sehemu anayoegesha ubavu sio [emoji1787]
 
angalieni maisha yao... kila mtu mwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

aibu kubwa sana hii.. afu mchina ndo alikuwa anawategeshea
 
Nakwambia siku utapata 2020 or 2021 source from wb kua tanzania imerudi LDC nitag nifunge acc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
angalieni maisha yao... kila mtu mwizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

aibu kubwa sana hii.. afu mchina ndo alikuwa anawategeshea
Wana maisha magumu bro usiombe yani wana maisha magumu 🀣🀣🀣 india wana nafuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…