Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani wameweka pesa kwenye expressway au mchina ndio kaweka pesa akikusanya pesa zake miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww tulia usikie pain kwenye toll kwa miaka 30 watakimbia nchi yao
 
Now this is a joke kila siku inamaana majirani hawana civil aviation authority ama?
Yah hata Uganda pia walikuja kufanya study kwetu miaka ya nyuma ili kuseparate noma sana una operate na kujikagua mwenyewe that can't be ndo maana kila siku matatizo.
 
Ina maana psv zilikua zinatumia service road lane πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani hvi kenya kuna serekali kweli
 
Uchaguzi uliopita pia mlisema hvo hvo..
Sali na kuomba sana huenda maombi yako yakakubalika
 
Kenya ni wazee wa kupandisha data hata kuhonga mtahonga ili muonekane mpo juu lakini kwa ground aaaah.kiboko yenyu ni mchina mkipandisha naye anapandisha
See how foolish you are, so serikali ya Kenya imeonga serikali ya Tanzania hili iseme kuwa only 29% of Tanzanians have electricity? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huuu uchafu peleka kibera mjifariji ...[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Source za mwaka jana from the gvt zinasema tanzania ina 13000km paved and 2000 under construction πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajitia ujinga bado unazitaka bakora
Utalia Sana. Source za mwaka huu from government of Tanzania ndio hii hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…