Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 tier interchange, Kenya vs Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1439280370.jpg
tapatalk_1601422871840.jpg
 
Hawa mbwa naona cku zinavyozidi kwenda wanapunguza mazoea au nyie mnaonaje wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani wamepambana since Uhuru wkt huo sisi tuko busy kui liberate Africa now 10 yrs tangu tuwe serious na uchumi tushawapiga gape la kimaendeleo, ndio sababu ya chuki na wivu mnaoona wako nao dhidi ya Tz, sasa nyie msiwe na hofu mwaka huu mwishoni tunaingiza treni za ulaya ila angalia watakavyouana mwakani, kama mnabisha ngj uchaguzi wao uishe alafu uone, kuna IDs hamtoziona humu huenda zitakuwa zimeshachinjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sijui Tanzania Mbona waliitikisha watu wajenge Dar majengo ovyo kila mahali bila planning no wonder Magu alitaka kuhamisha Capital City to Dodoma,They are f**k*d up Kabisa,Yani haipendezi inafanya mpaka Skyscraper zao zikae Kama Ni Nyumba ovyo
Rudi hapa 😂😂👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom