Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eh! unanikumbusha SABMiller!!! S.A hawaezi penya Kenya.
Kenya huwa mna mbinu chafu kibiashara mkiona product inatishia soko lenu mnapiga marufuku , ila Tanzania imekomaa kiushindani maana product zinaingia zinashindana na za ndani , na za ndani mwisho wa SIKU zina win soko,

spensa_e
 
😀😀😀😀😀😀😀
Screenshot_20170719-171322.jpg
 
Kenya huwa mna mbinu chafu kibiashara mkiona product inatishia soko lenu mnapiga marufuku , ila Tanzania imekomaa kiushindani maana product zinaingia zinashindana na za ndani , na za ndani mwisho wa SIKU zina win soko,

spensa_e
hakuna mbinu chafu jomba. hakuna marufuku yoyote iliyotolewa. Kenya tuko na biashara huru, ukichengwa tulia. i did love the fight between EABL and SABMiller tho! prices za beer zilishuka chini. consumers ndio waliofaidi
[HASHTAG]#BuyKenyaJengaKenya[/HASHTAG]

i also love Azam Energy drink here in Kenya but inauzwa vichochoroni. huezi ipata kwa supermarket
 
ujinga utaacha. sasa unaongelea vituko gani izo wakati watu wamekula hamburgers na pizza
while you are bragging for eating hamburgers and pizza,some of your fellows were shot for demanding more than two packets of unga..SMH.
njaa kitu mbaya sana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
dead6e9fa24416c5b9ec2f0b82546ff4.jpg
 
Back
Top Bottom