Majengo quality kunya landi ni Mali ya muzungu ,kunya ipo kwa upepari toka mkoloni kile chanye mukunya kapata ni slum tuDar is so disorganized with BRT that is a plus but with the city planning zero % everything is thrown all over so many poor quality buildings in town
Njoo ujenge wewe.Hakuna kitu itajengwa hapo😂😂😂
Umekuja kenya ukahakikisha au ni ujinga tu wa kuropokwa kutoka mitini?Majengo quality kunya landi ni Mali ya muzungu ,kunya ipo kwa upepari toka mkoloni kile chanye mukunya kapata ni slum tu
Hayo maendeleo "kubwa mno" yako wapi ni 2021 hatuyaoni., ama ni SGR ya umeme? ni nini hizo mnajenga tuzione humu., maana kila kitu mmeanika na bado mnaendelea kuongeza mifukara ukanda huu.., Dar ndio ilisimama, haisongi tena!., ufukara ndio inapanua mji iwe kubwa., bado roads hamjakaribia Nairobi.., so ni nini hizo mnajenga hadi waleo miaka zaidi ya tano sasa!!.., ama ni Kibaha??.., what????.., domo domo tu.., 😂 😂 😂Hiko kitu Wakenya wanapaswa kujiuliza sana. hofu yao ya kupoteza kiti iko juu sana, kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno we are not joking at all,tunapiga vitu left right ups and downs tena vitu vya uhakika wao wako bize na mikopo mikopo yenyewe hawako nayo serious wanadokoa humo humo.Endeleeni hivyo hivyo rasilimali zenyewe za kuhesabu.
Kujidanganya ndo mujitie moyo si vibaya sasa hivi GDP kenya and tanzania gap imeongezeka nyinyi ni kelele tu mnayoHiko kitu Wakenya wanapaswa kujiuliza sana. hofu yao ya kupoteza kiti iko juu sana, kasi yetu ya maendeleo ni kubwa mno we are not joking at all,tunapiga vitu left right ups and downs tena vitu vya uhakika wao wako bize na mikopo mikopo yenyewe hawako nayo serious wanadokoa humo humo.Endeleeni hivyo hivyo rasilimali zenyewe za kuhesabu.
ni zile hadithi zao za vijiweni, wenyewe ni mifukara zimeenda mjini kuzuba zuba tu..,Umekuja kenya ukahakikisha au ni ujinga tu wa kuropokwa kutoka mitini?
Dar city drone view tafuta picha yoyote ya cbd kenya iliyo pigwa na drone tuone kama utafikia hii hata robo Simba 254 @komora096 @Tony254Ati hii ni CBD? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Very poor quality buildings nkt does dah have a city planning committee really ama anybody builds anywhereDar city drone view tafuta picha yoyote ya cbd kenya iliyo pigwa na drone tuone kama utafikia hii hata robo
Kenya ni wazee wa kupandisha data hata kuhonga mtahonga ili muonekane mpo juu lakini kwa ground aaaah.kiboko yenyu ni mchina mkipandisha naye anapandishaTomorrow I'll come back na data za number of schools between Kenya and Tanzania na huko pia Tanzania inashika mkia kama kawa😂😂.
hahaha eti kupandisha data??? w uliskia wapi bro penye mumeshindwa mnakubali si kuleta vijisababu hafifu kujitetea..... tanzania ndo huwa nanadanganywa na serikali yao usiku kucha hakuna ambacho serikali ya tanzania inaeza sema niamini hadi hata kuficha raisi wao alipokufaKenya ni wazee wa kupandisha data hata kuhonga mtahonga ili muonekane mpo juu lakini kwa ground aaaah.kiboko yenyu ni mchina tu.
Upper hill, CBD, Westlands Nairobi kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umesahau industrial area, huligharm, kileleshwa, kilimani, parklands, highrise, ngara, kariakoo, kamkuji, gikombaa, riversideUpper hill, CBD, Westlands Nairobi kwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zote sehemu moja kamji kadogooo adi raha aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umesahau industrial area, huligharm, kileleshwa, kilimani, parklands, highrise, ngara, kariakoo, kamkuji, gikombaa, riverside
why dont we today compare nairobi residential estates vs dars residential estatesZote sehemu moja kamji kadogooo adi raha aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua slum boy na koti lako hauna bando nionyeshe picha ya cbd drone ya nairobi ya mchana tuoneVery poor quality buildings nkt does dah have a city planning committee really ama anybody builds anywhere
Kwnn tuanze na residential estates, kwnn tusianze na residential houses za wananchi wa kawaida zen tuje kwenye estates unasemaje? Mm naanza au sio [emoji3][emoji3]why dont we today compare nairobi residential estates vs dars residential estates
Miaka makumi matatu ni Mali ya mchinaGreen City in ☀️View attachment 1861775
Small mindMiaka makumi matatu ni Mali ya mchina